More Money, More Problems - Ushindi wa Bilion 50 ulivyosababisha kifo chake

Ulitaka niimalizeje kwani mkuu? Au ulitaka niendelee kuhusu kipi alikutana nacho baada ya after life?
Baadae pia alipigwa chini na huyo Mke wake mpya badaa ya kuanza kufirisika,na Mke kubeba kila kitu na kurudi kwa bwana wake wa zamani!! Hapo vp!?
 
Kwahiyo walitaka awape pesa kiasi gani, zilizokuwa mfukoni kwake au zilizokuwa benki? Na angewapje sasa hizo za benki? Mbona hawana akili? Na kwa kumuua ndio wamepata pesa? Au walitaka dada yake arithi pesa baada ya yeye kifa?
 
Baadae pia alipigwa chini na huyo Mke wake mpya badaa ya kuanza kufirisika,na Mke kubeba kila kitu na kurudi kwa bwana wake wa zamani!! Hapo vp!?
Soma tena hukumaliza kusoma mkuu soma tena kuna kipande hukusoma.
 
Soma tena hukumaliza kusoma mkuu soma tena kuna kipande hukusoma
Nimekusoma Mkuu nimekiona hicho kipande cha mwisho! Kweli pesa yako mwenyewe ndiyo inakua hivivi! Jamani tukiwa na pesa tunatakiwa tuwe wapole sana,Kama vile hakuna jipya ili tuishi kwa amani!
 
Baadae pia alipigwa chini na huyo Mke wake mpya badaa ya kuanza kufirisika,na Mke kubeba kila kitu na kurudi kwa bwana wake wa zamani!! Hapo vp!?
Hapana.

Huyo shemeji yake(Victoria) ambaye alikuwa anampa msaada huku anamnyandua alishirikiana boyfriend wake kumteka Jeffrey kisha kumpiga risasi ya kichwa
 
Back
Top Bottom