Imebidi nisome jina lako kwanza, nikaona niishie hapa.Tunyoshe mstari hapa. Swali ni kwamba je Tundu Lissu amekiuka matakwa ya kanuni au sheria za ubunge? Jibu ni ndio.
Hakuna ajira yeyote duniani utakayolipwa riziki stahiki miaka takribani miwili bila kuwepo ofisini. Huruma ni matokeo, ila sheria ziko pale pale.
Sent from my E6833 using JamiiForums mobile app
SawaKazi
Aisee!!Mweshimu Mungu kiongozi, Kristo Inaanza na herufi kubwa, Kadhalika na jina la Yesu. Kama ulimaanisha Otherwise Sina cha kuongeza.
Jamani nchi na Bunge vinaongozwa na sheria.Lakini kumbukeni kwamba kama Wakristo,Biblia imetuamuru kutii mamlaka!Kwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
PambafeLaana ya kuku haimpati mwewe.Hata hivyo ni ajabu sana,mnataka mtu avunje sheria halafu achekewe?Ni taifa gani linalo ongozwa bila watu kutii sheria.Ni lazima sheria tulizojiwekea ziheshimiwe.
OK[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbuzi katoliki
Sometimes wisdom lies by youThis news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me.
The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his convalescence while being seen gallivanting around Europe and the US and not filling out some form for the ethics committee or something like that.
Now, I get the whole idea of doing everything by the book and all that jazz.
I don't know if Lissu has actually done what is said he hasn't done.
I have a sneaky feeling that he'll probably contradict all of those given reasons for him getting booted off parliament.
I think there is no denying in the fact that he has suffered a lot. There is also no denying that even before that tragic afternoon event on September 2017, he was thoroughly and repeatedly harassed a lot by, some would argue, the powers that be.
Be that as it may, there is no need to add to his suffering.
Sometimes it is wise to have what I call 'moral flexibility' and actually use it.
In Tundu Lissu's case, I think the Speaker of Parliament could have used 'moral flexibility' in handling him.
Harassing a person who survived a dastardly assassination attempt is not right.
Very unnecessary.
Sometimes wisdom lies by you
But it happens that you somewhat blunder sometimesI’m always wise.
But it happens that you somewhat blunder sometimes
Let me put this in a simple language.
Wewe ni mwajiri then inatokea moja wa waajiliwa wako anapata tatizo ambalo linamplekea kuwa hospitali kwa mda. Baada ya mda unamuona huyo mwajiliwa wako akizunguka sehemu mbalumbali akikuchafua utachukua uamuzi gani ukizingatia huna taarifa kamili za wapi alipo officially?
He deserve it.
Mbona baada ya kuvuliwa ubunge ameamua kurudi. Si angebaki huko aendelee na Matibabu?