Moom..moom.. r u okay? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moom..moom.. r u okay?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sarikoki, Jul 12, 2012.

 1. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Haka ni kalasti boni kangu ka kike... basi huwa kila nikijifungia chumbani na wife kanakuja kanagonga mlango kwa nguvu huku kana shout moom..mooom r u okay. ?
  Hehehe hapo nakua sina ujanja mzee mzima inabidi nitoke tu, naenda kujipooza na kesto barridiii.
   
 2. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  mkuu hebu tafuta njia nzuri ya kumuintatain huyu last born ili akupen faragha na mkeo. kwani dada/kaka zake wanafanya nini? ama wewe cd umezoea za ngono tu za katuni hununui? acha hizo bana nunua dora the mermaids uone kama atanyanyuka kwenye kochi.
   
 3. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hehehe.. ni ka lasti boni.. alafu nikiwa home hakaniachia aisee.... kwa kweli kanatupenda sana.. hayo madume hayanashida hata nisiporudi hata hayaulizi ulikua wapi.. yenyewe DSTV ikiisha ndo utayasikia.
   
 4. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Kama kanasumbua sana home, mnatakiwa mtoke out na mkeo yapo siku za weekend mnachukua chumba hoteli siku nzima ya mashambulizi tuu.
   
 5. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Hii imetulia mkuu... thanks
   
 6. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #6
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Badilisha ratiba ya mechi. Tegea kamelala ndio mjinafasi. Najua ni ngumu kuvumilia lakini hamna jinsi, at least kwa sasa.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duuh mpeni calpol katalala chenyewe
   
 8. s

  sarikoki JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 1,196
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Du! hii mbinu yako funga kazi... na kakiamka hatujamaliza tunakapa tena
   
 9. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #9
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,945
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  sasa mkuu mbona hii ni rahisi ingia kwa rum wakati waena kulala waaga wanao waambie leo najiskia vibaya msinisumbue eeh! mwambie kaka mtu mwekeen katuni mtoto nataka nilale kidogo na sitak usumbufu swa eeh unamuaga kwa amani ila hakikisha mama anapoingia hakamuoni ukisha funga mlango kwisha abari yake
   
 10. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #10
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kweli kwenda sweet escape ni sawa, kumnunulia mtoto educative cartoon ni sawa pia (hiyo ya kumpa capcol mmhh???) ila ushauri wangu huu hapa: fanyeni hivo kwa kujifurahisha au kwa kumfurahisha mtoto na sio kwa kumkimbia.
  Msimkimbie mtoto, don't sedate her, msimpumbaze na ma-cartoon. kaeni nae chini mumweleze kua you need space. tell her that the world does not evolve around her and that sometimes there is family time, sometimes her mum or you have time just for her but sometimes you and her mum need your own time and she must not interfere with that time. Mnapoenda kujifungia mnamwambia kabisa good night, it's pap and mom time now. baadae mkiwa nae mnakumbushia kua you are having family time. Ni muhimu ajue kua kila mtu ana nafasi yake katika maisha yenu.
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  tatizo mtoto anasikia makelele ndio maana anakuja kucheck kama mama yuko fine.
   
 12. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #12
  Jul 12, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 160
  mpe kidonge cha pilitoni alale
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,699
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Kape home work nyingi!
   
 14. Mwanawalwa

  Mwanawalwa JF-Expert Member

  #14
  Jul 12, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,015
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  dah sidhani kama yafaa kumwambia hivyo mtoto bora wampotezee kiaina tu hiyo ya pap an mom time imekaa kidhungu sana
   
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  Jul 12, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hawamwambii wanaenda kufanya nini, wamwambie tu kua they need some space. the lil girl is interfering in their sexual life. Ni sawa na pale unapomwambia mtoto mdogo hatakiwi kuingia katika maongezi ya watu wakubwa, she needs to wait hadi ukimaliza ndio aongee. In the same patient way wanaweza kumwambia kua sasa wanahitaji kua pamoja na asubiri hadi baadae tena watakua nae. Usimdanganye mtoto, anajenga a wrong picture na baadae inakua tena kazi ya kumwelewesha.
   
 16. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #16
  Jul 12, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  ukiona anasumbua jua anataka mdogo wake
   
 17. sikafunje.N

  sikafunje.N Member

  #17
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwambie dada akapeleke tution
   
 18. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #18
  Jul 12, 2012
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Eti ni mpangaji vile? Hako katoto iko siku alijitia kulala na akaona jinsi mnavyohangaika lakini akabaini kuwa moomy anatowa sauti ya idhilali akahisi unamuonea.

  Nakumbuka ulinikumba mkasa huo wakati nilipokuwa kaboy (wakati ule tulikuwa hivyo tena) nilimsikia mwanamke analizwa na kaka yangu na ilibidi nitoke chumbani kukimbia kesi!
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Jul 12, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :biggrin1: siku nyingine kape ka wine hivi ili kalewe kakalale
   
 20. Rapunzel

  Rapunzel JF-Expert Member

  #20
  Jul 12, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,089
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hahahaha umenikumbusha mbali sana!!!!!
   
Loading...