Mama huyu ambaye hakubaliki sana kwenye jimbo lake kiasi cha watu kuamini kuwa hupita kiccm
Jana Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro na mbunge wa Iringa mjini kaweka wazi nia yake ya kutetea jimbo lake, Mama huyu ambaye hakubaliki sana kwenye jimbo lake kiasi cha watu kuamini kuwa hupita kiccm jana ametangaza kuwa anagombea tena.
Akiongea kwa kujisifu eti kuwa ukuu wa mkoa alioupata ndio mafanikio na ni kitu cha kujivunia kwa wananchi wa Iringa kwa kuwa wao kumchagua kwake kumemfanya aonekane na rais na kupewa nafasi hiyo ya ukuu wa mkoa. amerbainisha msimamo wake jana kwenye mkutano ulioandaliwa na taasisi ya ISICO kati yake na wnanchi.
siasa za bongo bana,huku mkuu wa mkoa kilimanjaro,huku mbunge wa iringa mjini,yaani hata haieleweki,mmh nimemkumbuka kajaajaa hivi kibantu haswa,na ni mama wa kimjinimjini,kubebwa muhimu hata ningekua mimi ningempendelea potelea karibu.Jana Mheshimiwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro na mbunge wa Iringa mjini kaweka wazi nia yake ya kutetea jimbo lake, Mama huyu ambaye hakubaliki sana kwenye jimbo lake kiasi cha watu kuamini kuwa hupita kiccm jana ametangaza kuwa anagombea tena.
Akiongea kwa kujisifu eti kuwa ukuu wa mkoa alioupata ndio mafanikio na ni kitu cha kujivunia kwa wananchi wa Iringa kwa kuwa wao kumchagua kwake kumemfanya aonekane na rais na kupewa nafasi hiyo ya ukuu wa mkoa. amerbainisha msimamo wake jana kwenye mkutano ulioandaliwa na taasisi ya ISICO kati yake na wnanchi.
siasa za bongo bana,huku mkuu wa mkoa kilimanjaro,huku mbunge wa iringa mjini,yaani hata haieleweki,mmh nimemkumbuka kajaajaa hivi kibantu haswa,na ni mama wa kimjinimjini,kubebwa muhimu hata ningekua mimi ningempendelea potelea karibu.
mzee kibantu sio lazima liwe boonge na limejazia,i mean ana kaumbo kazuri lazima awe promoted.Aaah, wapi. Mbona ka-portable kwa sana wala hana shepu ya kibantubantu.
Hana maadili alifanya madudu alipokuwa waziri pale hazina yaliyosababisha kuondolewa kwake!!!
mzee kibantu sio lazima liwe boonge na limejazia,i mean ana kaumbo kazuri lazima awe promoted.