- Thread starter
- #61
eti eeeeh ndomana wageni wengi sana humu
Mm mgeni kabisa hum,nlikua nasoma tu tangu 2011
eti eeeeh ndomana wageni wengi sana humu
no comment............
hahahah....tangulia naja
Mm mgeni kabisa hum,nlikua nasoma tu tangu 2011
Mbona umeanza kujihami mapema?Usiogope hamtajwi!!!!!
Acha basi kunichomesha mahindi?????
Nasi tuwakimbize, huko usoni tukiwakosa ndiyo lewtu tena....." Follow the bees"Ha haaaa, naona wamekimbia
Na wewe mmefkia wapi na yule ulokula tigo pesa yake?? Unafkiri kasahau??
ha haaaaaaNasi tuwakimbize, huko usoni tukiwakosa ndiyo lewtu tena....." Follow the bees"
Wacheka eenh! huko tukifika kuna zaidi ya kicheko ! hata tusipo wakuta....Ha ha haaaaha haaaaaa
x husband sijui yuko wapi siku hizi
Ila kuna ajali nyingi zimetokea hapa kati kati!!
Anza kukaa EDA !! Ikiisha itisha uchaguzi mdogo!!
Ayaaaaa!! Nani huyo?Mbona jimbo tayari lina mbunge wake?We ulizia tu ni nani uambiwe
Ayaaaaa!! Nani huyo?
Ila kuna ajali nyingi zimetokea hapa kati kati!!
Anza kukaa EDA !! Ikiisha itisha uchaguzi mdogo!!