Na mie nimepata hamu ya kujua mtoto shombe shombe alioa ama?Wapi Dinazarde haukuitwa hata harusini?
ha haaaaInawezekana badiebey ananyonyesha, Money Stunna yuko busy kuhakikisha familia inakua na amani, wanalea familia yao saivi, watapata wapi mda wakuingia tena jf??
Nimewaza tu.....
Walikua wanafanya kinguo nguo!!
Shem subiri kwanza mleta uzi apate jibu. Kuhusu hot talk siwezi kuliongelea kwasasa....
Inawezekana badiebey ananyonyesha, Money Stunna yuko busy kuhakikisha familia inakua na amani, wanalea familia yao saivi, watapata wapi mda wakuingia tena jf?? Nimewaza tu.....
kesho atauliza kuhusu yuleeeeee host nawewe.....
ngoja ntarudi kusoma tena uzi
Unanifurahishag sn comment zaki
..hivi huwa wanakulana kweli humu?badiebey kapotea sana hata humu jukwaaani
..hivi huwa wanakulana kweli humu?