Moneystunna& badieybey

Moneystunna& badieybey

Na wewe mmefkia wapi na yule ulokula tigo pesa yake?? Unafkiri kasahau??

mtoa mada anadili na wanaojinadi jukwaani bila kujali ni kweli au blaah! yule nlimsubiri aje achukue pesa yake weeeeeeeee kimya
 
wapo wengi tu humu wanabadili hadi miandiko atii...

papara za jeiefu zaishia kuwaponza wanabadili jezi fasta waonekane ni wachezaji wa timu nyingine...

haha umeona eeeh ila sio kazi ndogo kubadili swaga na mwandiko watu wataunga dots tu
 
haha wote tuko jela kwani hujawahi kukutana na mtu humu

Kuna mmoja nilipigaga Sound akatiki!! Ila akaanza kunirusha huku hadharani,nikaona chenga tu!!

Siku endelea tena kwani yakaibukaga ya kina Gilesi,Grace aliyejaaliwa!! Nikaona masinema tu
 
wapo wengi tu humu wanabadili hadi miandiko atii...

papara za jeiefu zaishia kuwaponza wanabadili jezi fasta waonekane ni wachezaji wa timu nyingine...

halafu wanakuja kimajungu majunguu na madongo balaa mtu anapost kitu akifokas mtu/ watu fudenge espeshale ambayo kwa namna moja au nyingine walikua eiza maadui, itikadi zilipishana na mengineyo....heee atawashambulia mpaka wakome
 
Kuna mmoja nilipigaga Sound akatiki!! Ila akaanza kunirusha huku hadharani,nikaona chenga tu!!

Siku endelea tena kwani yakaibukaga ya kina Gilesi,Grace aliyejaaliwa!! Nikaona masinema tu

hahaha yaani umelenga mule mule humu wengine jinsia tata ila wapo wazuri wapo wote ndani ya tenga moja umakini ndo kitu muhimu sana
 
ndio hivyo wengine tunawajua ila tunauchuna tu maana haina tija kuchomeana....btw jeiefu ni kijiwe cha porojo tu

umeona eeeh unakausha watu wazima tunachek movie tu aibu yao wenyewe
 
Back
Top Bottom