Money talks.... Ni noumaaaa!!!

Money talks.... Ni noumaaaa!!!

Junior. Cux

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
5,319
Reaction score
3,797
Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K

Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the best thing ever to happen in my life...Hiyo inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2 ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote tulio Dimbwini na wanawake wasio wa Mjini
 
mjini mipango,ukipenda kula na wewe upende kuliwa " JK"

aliyetoa pesa bandia kapokea cheni bandia " prof jay "
 
Mkuu mjini mipango :-

1.Mjini ukienda na jembe utalima lami.
2.Mjini shepu tabia njema peleka Kijijini.
3.
4.
5.
6.
 
Ndio vijana wa sasa huwa mnafanya hivyo?
 
Hehehe uanaume kazi.
Ila yule mbunge mwanamke alieoa mwanae ni wa viti maalum eeh?
 
Sio bure tujulishe kilichokupata?????? Bila mipango mjini hujaishi bado,,,,,, afu kuna tu mistari hapo kati nimeiba nifanyie practical!!!!!!!!!!!!!
 
Ha ha ha ha umenikumbusha candy and candy msingi kiuno noma sana mjini akili nguvu kijijini mambo ya louis v,jimmy choo,cl hayaji hv hv.
 
Sio bure tujulishe kilichokupata?????? Bila mipango mjini hujaishi bado,,,,,, afu kuna tu mistari hapo kati nimeiba nifanyie practical!!!!!!!!!!!!!

hakijanipata kitu, ni experience tu ndo zinaongea... hizo hela ni kama mmezaliwa nazo vile, ngoja nizitafute
 
He he he I MISS YOU watu8

He he he...eti nikikutumia MPesa utaiboresha zaidi hiyo 'Ai misi Yu' itakuwa 'Ai misi so so machi dalingi watu8...mwaah!!!'
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mjini mipango :-

1.Mjini ukienda na jembe utalima lami.
2.Mjini shepu tabia njema peleka Kijijini.
3.Mjini uzuri kwa mwanamke, Mwanaume ATM
4.
5.
6.
1.Mjini ukienda na jembe utalima lami.
2.Mjini shepu tabia njema peleka Kijijini.
3.Mjini uzuri kwa mwanamke, Mwanaume ATM
 
He he he I MISS YOU watu8

Hahahahaha tugawane hayo mahela alokupa watu8... kila siku wamnyonyoa maskini hata posa yake umekataa ukamwita kizee lol...leo unamwambia I miss u hahahahahah ipo namna....
 
Last edited by a moderator:
Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi..
We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui..
Wiki ya 1: Baby Goodmorning..Anajibu MRNG.TC...Hataki longolongo...
Babe umekula..anajibu Yah,why not...
Baby Goodnite anajibu Nyts...au K

Wiki ya 2 we mtumie MPESA Laki 2 ya ghafla tu kumsapraiz..
Halafu Mtext...Baby umekula..Utasikia,yes Hubby wangu,nimekula nimeshiba,nakuwaza tu hapa cant wait to see you baadae,kisses hubby akee
Ukimtumia Goodnite...Baby why unalala mapema hivi,subiri tulale wote jamaniii,au hunimiss
Ukimchunia bila kumtext lazima aanze...Hunnie Boo,mbona kimya jamani,I miss you,ukiwa kimya sana unanipa mawazo..I love you,ur the best thing ever to happen in my life...Hiyo inaitwa Miujiza ya Laki 2
Mademu wa Mjini Mshenga wao Hela...Laki 2 ina uwezo wa kubadili Nyts kuwa Goodnite my Hubby,Kisses xoxoxoxoxo hata sijuagi manake nini.
Sasa wewe endelea na I love you zako kama unaekti muvi ya Marichui HUTAPENDWA NG'OO!
Kwa Hisani ya Wanaume wote tulio Dimbwini na wanawake wasio wa Mjini
ha ha ha xoxoxo ni mabusu
 
Back
Top Bottom