Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,348
- 6,672
wengi wetu tumezaliwa familia ambazo wazazi wameanza kufanikiwa tukiwa Form 1...tuna utofauti mkubwa sana na watoto waliozaliwa wakazikuta tayari wazazi wao washatusua zao.
Sio maporini huko. Kwanza alitaka eneo lenye utulivu. Pili eneo kubwa la kuweka mjengo vyovyote upendavyo na mandhari kama hiyo. Napenda namna hiyo. Utulivu wa kiihivyoKwa nini aliamua kuificha huko Maporini..!?
Kuna siri nyuma ya Pazia..
Tangu nilipoona huo mjengo nimejiona mm nimepanga kwenye Banda la mbwa tuNikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
Ukifanya hivyo bado utakuwa mzee wa misifa. Kila demu mkali unaemtongoza unampeleka huko. Mara moja utapata sifa za Mr misifa kwa hao hao mademu.Mungu akikupa hela, let them talk, na hapa ndipo watu wanafanya makosa, usiwe tena mtu wa kuongea ongea. Kwa mfano kama una E-vogue unambeba mtoto mkali usiangaike kutongoza au kujisifia, we peleka mpaka kwenye eneo la tukio. Mengine yanakuwa tayari yameji-set. Ila ukimaliza usilete longo longo, splash the bucks
Sure, jamaa wana Game sana. Their game is Classy! Hamna makelele mengi wala nini. Katoa Mansion yake sehemu tulivuMshana Jr huyu marehemu sio pesa tu, kikubwa ana CLASS. Wapo wengi tu wanapesa ila wanajenga vitu vya ajabu vya gharama kubwa. Hio mandhari utafikri ni Swiss Alps sehemu ambazo kila mtu anaota akastaafu huko. Huu ukoo ni defination ya class hapa Bongo.
Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
Yeah nikweli kabisa mkuu, lazima uwe na pakuanzia huwezi kuanzia juuHapana usijidharau kuna watu wanatanua mjini lakini hawana hata hilo banda la dogi
Mshana Jr hivi huu mjengo ushawahi kuuona kwenye social Media yoyote kabla ya msiba wa Mzee?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mm nahisi nimepanga jikoni,nalala na kukuTangu nilipoona huo mjengo nimejiona mm nimepanga kwenye Banda la mbwa tu
Huyu Mzee hakua na makuu, hii nyumba hata hatukuijua tena mpaka jana alipopelekwa kwao, Dah Mungu atusaidie tuwe wanyenyekevu mbele zake na watu wanaotuzunguka
Haaaa mjomba !! Porini ndio Mpango mzima.... We unataka ustaafu uje kugombana na mafoleni tena mjini.... Baba Mchumia Juani Ulia Kivulini !! Hapo ndio Mahala pake.....Kwa nini aliamua kuificha huko Maporini..!?
Kuna siri nyuma ya Pazia..
Kuna yule mkuu wa mkoa alipoula tu, akarekebisha sebule... basi mapicha yakajaa insta balaa.
Maskini tunashida sanaKuna yule mkuu wa mkoa alipoula tu, akarekebisha sebule... basi mapicha yakajaa insta balaa.
Mshana Jr huyu marehemu sio pesa tu, kikubwa ana CLASS. Wapo wengi tu wanapesa ila wanajenga vitu vya ajabu vya gharama kubwa. Hio mandhari utafikri ni Swiss Alps sehemu ambazo kila mtu anaota akastaafu huko. Huu ukoo ni defination ya class hapa Bongo.
Mama mdogo aka Kylnn au klynn au Jackie atafauduNikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*