Money talks my friend

Acha kabisa ila ukiwa na pesa bila ulimbukeni ni raha sana, kinachotuponza sie ni ulimbukeni na kujisikia
wengi wetu tumezaliwa familia ambazo wazazi wameanza kufanikiwa tukiwa Form 1...tuna utofauti mkubwa sana na watoto waliozaliwa wakazikuta tayari wazazi wao washatusua zao.
 
Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
nimecheka hadi machoziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ila Babu bwana akaona akajenge kule ili akose hata majirani wakuomba chumvi..sawa tu Grand father ulituweza...Tunaendelea kujifunza hata SASA Kupitia ulivyoviacha.
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mungu akikupa hela, let them talk, na hapa ndipo watu wanafanya makosa, usiwe tena mtu wa kuongea ongea. Kwa mfano kama una E-vogue unambeba mtoto mkali usiangaike kutongoza au kujisifia, we peleka mpaka kwenye eneo la tukio. Mengine yanakuwa tayari yameji-set. Ila ukimaliza usilete longo longo, splash the bucks
 
ila Babu bwana akaona akajenge kule ili akose hata majirani wakuomba chumvi..sawa tu Grand father ulituweza...Tunaendelea kujifunza hata SASA Kupitia ulivyoviacha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wabongo bhana
 
fact!
ndio maana matajiri wengine watu huhisi mali zao ni za kishirikina sababu hii
 
Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi Leo nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa *MKATABA WA KUPANGISHA PANGO*
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
dah nimecheka kifala
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…