masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,384
- 19,308
- Thread starter
-
- #81
Ngoja niitafute tena pb niichekIf elexander Mahon ndio angekuwa anawatafuta hawa kina professor uchwara and his accomplice wote wangekamatwa ndani ya siku mbil tuuuu View attachment 1407786
Hahaha jamani lost nayo ina maajabu ajabu mimi sikuipenda piaHapana sijawahi ipenda kama ambavyo sikuipenda Lost
Nimeidowload kwenye chanel za telegram huko ma mb kama yote aisee imenilia bando si mchezoupo wapi mkuu mimi nakupa bure na flash juu.
NiAmbie nikatizame series gani kali zaidiSiwezi tena poteza muda kuitazama Money Heist. Nimeitazama season one nzima lakini sioni utamu wake, tena naenda kuifuta kwenye pc.
Nilikuwa naambiwa ukisogea mbele inakuwa nzuri lakini wapi sioni ubora wake. Tatizo wanaipa kiki sana mtu unakuja ukijua ni nzuri mno kumbe hata kwenye watch list yangu haifai kuwepo.
Mbon nying zina sub za eng??Wadau nimejiunga/like page/ account nyingi za telegram lakini sijafanikiwa kuona money heist with English subtitle ,,,,naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
eemmh cheki hizi kama bado hujazicheki.NiAmbie nikatizame series gani kali zaidi
Ndio
Asanteeemmh cheki hizi kama bado hujazicheki.
1:Treadstone
2:Ingorbenable
3:Billions.
Pb umeangalia mpaka season ya ngapi?Ki ukweli pb ni fire....japo sikuimalizaga ila watu wanaichalenj hii money heist coz kuna imposibilitynyingi sana zinawezekana kirahisi
(Huo ndo utofauti wake)
Billions nipe story yake kidogo kwa kifupieemmh cheki hizi kama bado hujazicheki.
1:Treadstone
2:Ingorbenable
3:Billions.
Vp umepata link tayari maana nilitaka nitume link ya telegram ambayo unazipakua kwa urahisi mno kuanzia season one to four na nyenginezo high qualityNdio
Vp umepata link tayari maana nilitaka nitume link ya telegram ambayo unazipakua kwa urahisi mno kuanzia season one to four na nyenginezo high quality
4. Black Listeemmh cheki hizi kama bado hujazicheki.
1:Treadstone
2:Ingorbenable
3:Billions.
Njoo nikupe complete season 4..Nani anaweza akanifanyia wepesi wa hichi kitu