Money Heist 4 ipo Netflix

PB moto mwingine ule huwa sichoki kuirudia rudia.
Hapa nilipo naiangalia season ya 3 Michael scottfield yupo jela ile ambayo wafungwa ndo wanajiongoza wait wenyewe aisee Prison break weka mbali na watoto
 
Ni moja kati ya series mbaya kuwahi kuiona. Nimecheck S01 E1-5 nimejuta kupoteza muda wangu.
Mbaya! mbaya! mbaya!
 
watu smart pekee wanaielewa sio ya kuangaliwa na vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu smart pekee wanaielewa sio ya kuangaliwa na vilaza

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu smart huwa hawajitangazi. Wanaojitangaza ni mashoga na wanaojiuza ili wapate wateja. Mtu smart anajitangaza ili iweje?

DJ Khaled anaimba pesa kila siku lakini hata robo bilioni hana. Kina Bill Gates na Bezos hawajawahi kujimwambafai na wana mamia ya mabilioni.
 
Wala haiitaji IQ kuielewa hii ngoma Ata mtoto wa LA saba c anaelewa vizur zipo ngoma ni complicated mzee
Mtu anaangalia Money Heist akitoka anajiita smart. Yani usmart wake anaupima kwa kutazama movie tena yenyewe ni hii ambayo hata watoto wa shule ya msingi nawawekea wanatazama na wanaijua mtiririko.
Shule muhimu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…