Money can't buy love. Tusidanganyane

Money can't buy love. Tusidanganyane

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,855
Kumekuwa na mitazamo kadhaa wa kadhaa kwa sasa katika jamii kuhusu mahusiano na wengi wamekuwa wakisema pesa Ina nguvu Sana katika mapenzi.

Wengi wanaamini kuwa pasipo kuwa na Pesa kwa sasa huwezi kuyafurahia mapenzi utakuwa Kama mwizi aliyeiba naye akaibiwa kariakoo.

Bila Pesa utasikia wanasema huwezi pata mpenzi la hasha. Hata ukimpata mpenzi mapenzi yenu hayawezi dumu ni Kama kujisumbua

Wanawake wa sasa ni Pesa tu. Piga kazi utafute pesa upate penzi ufurahie lakini imani yangu ni kuwa mapenzi ni hisia za kweli kwa mwenza. Pesa inaweza kuwa kigezo cha kupata penzi.
 
Unafiki wa kwanza unaanza na yule anayetafuta pesa kwa nguvu ili akazitumie kupata Penzi, Kadiri unavyotumia akili, maarifa na nguvu kuipata pesa basi tumia akili hizo hizo, nguvu hizo hizo kufikiria katika kulitafuta ama kupata penzi.

Kuna ujinga mwingi sana katika matumizi ya pesa kuliko kuzitafuta.
 
Mimi ninavyojua mapenzi sio pesa ila yakikosa huwa hayanogi kabisa au vipi uliza walio kwenye mahusiano na matumizi na kati ya walivyo anzisha na wanaoishimo hata hata wale one standing nao pia wanahitaji matumizi ili upate huduma safi na nzuri
Mkuu mwanamke anagharama sana usimuone anapendeza sana anavutia hujui nguvu ya yeye kupendeza inatoka wapi ukichana na wale wa kishua.
 
Nasema hivi tafuta pesa kijana,halafu watu wenye kariba Kama yako huwa hawajitumi kwenye usakaji noti,ni watu wa kurizika sana
 
Back
Top Bottom