Monduli Wamlilia Magufuli, WASEMA Lowassa BAI BAI

Monduli Wamlilia Magufuli, WASEMA Lowassa BAI BAI

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
MONDULI WAMLILIA MAGUFULI, WASEMA WAMECHOKA NA LOAWASSA

11889636_1630312860566825_7421192184844040497_n.jpg

11903898_1622689217990122_3909491235979005560_n.jpg

Wanawake wengi sana Tanzania wanasema hatuna budi kumpa CCM Kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa Mama huyu kua Mgombea Mwenza,

Mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda Uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya.

Shikamoo mama Samia;

11986518_898966126851413_4595980372362813945_n.jpg

Masai hataki kabisa kusikia habari ya mwanamke kuwa kiongozi. Hakuna laigwanan mwanamke! Si mtazamo wangu, ni wa jamii ya kimasai
 
"LOWASSA THE GREAT" hata mseme ananuka pakuchu sisi na yeye na sisi tutamchagua kwa kishindo TIME FOR CHANGE. CCM hata mlie fimbo bado.
 
Sasa ungesubiri lowasa aende huko then ulinganishe wanaomtaka John na wanaomtaka Edo.
Kwenda kumshangaaa Fisadi hakumaanishi chochote kile. Tena wanabebwa kama kokoto.

[h=3]MALORI YA KOKOTO[/h]

CHADEMA.jpg
 
Monduli hata Lowassa hataki kuona CHADEMA ingawa anataka kura zao.
 
Hah hah haaa!!!! Hongera saaana wana Monduli kwa kumlilia huyo mpwefu! Mmeona mbaali sana kama mie. Najua mnamlilia kwa kuwa mmeshaona na kugundua kuwa amepotea, na amepewa zigo ziito la kuidedisha sysyemu. Ziko la kifo cha magamba liko kwa huyo mpwefu (mpofu), hatuna budi kumliliaaa!
 
Hah hah haaa!!!! Hongera saaana aana Monduli kwa kumlilia huyo mpwefu! Mmeona mbaali sana kama mie. Najua mnamlilia kwa kuwa mmeshaona na kugundua kuwa amepotea, na amepewa zigo ziito la kuidedisha sysyemu. Ziko la kifo cha magamba liko kwa huyo mpwefu (mpofu), hatuna budi kumliliaaa!

Jamaa HASAFISHIKI
 
[h=3]MONDULI WAMLILIA MAGUFULI, WASEMA WAMECHOKA NA LOAWASSA[/h]

11889636_1630312860566825_7421192184844040497_n.jpg

11903898_1622689217990122_3909491235979005560_n.jpg

Wanawake wengi sana Tanzania wanasema hatuna budi kumpa CCM Kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa Mama huyu kua Mgombea Mwenza,

Mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda Uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya.

Shikamoo mama Samia;

Lowasa anakuja Monduli, Kama kweli wamsubiri afike wampe za uso!
 
Hivi leo kulikuwa na mpira au Kampeni pale uwanja wa taifa?
 
[h=3]MONDULI WAMLILIA MAGUFULI, WASEMA WAMECHOKA NA LOAWASSA[/h]

11889636_1630312860566825_7421192184844040497_n.jpg

11903898_1622689217990122_3909491235979005560_n.jpg

Wanawake wengi sana Tanzania wanasema hatuna budi kumpa CCM Kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa Mama huyu kua Mgombea Mwenza,

Mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda Uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya.

Shikamoo mama Samia;
SAWA KABISA,anafaa sana huyu mama!.Alikuwa makamu mwenyekiti bunge la katiba,kilichotokea mmesahau?.KATIBA FEKI.Anafaa?
 
Masai hataki kabisa kusikia habari ya mwanamke kuwa kiongozi. Hakuna laigwanan mwanamke! Si mtazamo wangu, ni wa jamii ya kimasai

Hii inaweza ikawa ni pumba ya mwaka. Kwahiyo uchaguzi huu ni wa malaighwanan .!?? Hvi viroba hivi..!!
 
Back
Top Bottom