PETER FRANCIS
Member
- Jul 28, 2015
- 33
- 3
hao watu kwenye mkutano huo wa monduli hawajazi hata basi mbili.
huyu kiongozi aliepitisha katiba ya chenge !!??[h=3]MONDULI WAMLILIA MAGUFULI, WASEMA WAMECHOKA NA LOAWASSA[/h]
![]()
![]()
Wanawake wengi sana Tanzania wanasema hatuna budi kumpa CCM Kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa Mama huyu kua Mgombea Mwenza,
Mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda Uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya.
Shikamoo mama Samia;
Hahahsha..... Unatia simanzi kweli. Ivi nyie si mtakufa kwa presha??? Moyoni mnaumia midomoni mnajilazimisha kumponda.... Aaibuuu[h=2]Lowassa Hasafishiki[/h]
monduli wamlilia magufuli, wasema wamechoka na loawassa
![]()
![]()
wanawake wengi sana tanzania wanasema hatuna budi kumpa ccm kura zao kutokana kutambuliwa kwao kuchaguliwa mama huyu kua mgombea mwenza,
mama huyu mwenye hishima na mchapa kazi na asopenda uzembe katika kazi anayo pewa kuifanya.
shikamoo mama samia;
![]()
Kura Lowassa hizi,hapa usafiri na buku tano tano
Linganisha gharama ya bango la Picha Ya Huyo Mgombea ccm na mavazi ya waliyoyakamata mabango hayo.Lo Kweliccm inawafanya baadhi ya Watu kama mazombez vile lengo kuendelea kunyonya wengi na kunyanyasa,bali kutajirisha wachache Kama Mzee wa Kuuza Nyumba Z Serekali Kwa Bei ya kutupwa,mzee wa kukurupuka!
ukweli ni kwamba monduli wanajielewa sana ndo maana wanaikubali ukawa labda wewe peke yako