Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

Acha tu elimu na maji.... Ata watu wenyewe walozunguka eneo anako toka raisi mpaka mionekano imechoka.... Ndo uje kulinganisha na monduli.... Jitu yenyewe usikute ata hata monduli alipajui lkn kisa kuna malipo ya kila post utalikuta apa nalo limeanzisha post

Monduli ni mbali sana isitoshe Lowasa hakuwa Rais eti angeweza kujipendelea kwake tu, lakini Jimboni kwao Rais wa Nchi ni Aibu watu wa kipato cha chini wapo hoi kiuchumi hadi kielimu.
 
Monduli yaongoza kwa huduma mbovu za
afya
Monduli imeongozwa na Lowassa akiwa mbunge
wao kwa zaidi ya miaka 35,lkn kwa miaka yote
hiyo bado Monduli inaongiza kwa huduma mbovu
za afya,wananchi wanachangia maji na
Ng'ombe,walimu hawapewi haki zao ikiwemo
likizo.
Mtu ambae kashindwa kuwajibika kwa jimbo lake
tu,leo anawadanganya wananchi kuwa matatizo
itakuwahistoria,...fanteni tafiti mjiridhishe.
Mtu kutoka ccm sio kugezo cha kutokubalika
kama baadhi ya watu wanavyotaka
kutuaminisha,lkn ni vyema tukafuatilia historia ya
mtu kupinga dhulma,rushwa na ufisadi wakati
yupo ccm.
Katika kufuatilia kwangu siasa,sijawahi kumuona
lowassa akiwapinga ccm kwa vitendo vya dhulma
,Rushwa,ufusadi kama wanavyopinga wana ccm
wenzake kama Deo Filikunjombe,Kangi
Rugola,Hamisi Kigwangala ,Ole Sendeka pamoja
na Mwigulu nchemba.
Je Lowassa aliwahi kupinga nini na wapi vitendo
vya Kifisadi,rushwa na dhulma?
Kunguru hawezi kuwa kuku hata ukimlea vipi,ni
mjinga tu anaedhani kuwa fisadi papa anaweza
kuaminiwa kuwa mlinzi mkuu wa mali ya umma.

Chalinze ipo jirani na ikulu mbona hakuna maendeleo? Huko Bagamoyo kwao mkuu ya nchi kuna maendeleo gani? Monduli ni mbali sana pia Lowasa hakuwa na uwezo wa kujipendelea kwake tu kisha akaacha majimbo mengine.
 
Monduli ni eneo la wamasai. Ccm haitaki kuwapa elimu ili waendelee.
Wachache walo soma wamronesha ni weledi
Sarakikya ni mkiu wa majeshi mahiri
Sokoine hakua na mfano
Lowassa kidume

Hivyo ccm wanawaogopa wanataka wawe hivo ili wawe kivutio cha watalii
 
Kabla hatuajadili Monduli tuanzie kwanza chalinze, tangu jk alipoanza kuwa mbunge, hadi sasa anamaliza uraisi, pakoje? kwenye elimu na maji ni aibu sikutegemea kabisa kwa nilichokiona.

Chalinze kulikuwa hakuna maji, alipokuwa Mbunge huko Jakaya Kikwete akafanya kila njia maji huko sasa bwerereee. Hauyajuwi hayo?

Halafu wewe unalinganisha ufanisi wa Kikwete na hicho kigonjwa? Unanchekesha!
 
co ukwel na ni upotoshwaj mkubwa! mi nikir kabisa kuwa ni mwana ccm! na nimeish mondul zaid ya miaka3 hocpital ya wilaya ya mondl ni hocpital mfano hapa nchin! wanatoa kila aina ya hduma ambayo huitajka kotka katka hosptal kubwa.wod za kutosha mpaka baadh zko tupu hudma ya maabara ya uhakika had oparation kubwa inafanyka so wew unaedai kuwa hdma za afya mbovu umetumia criteria zp?
 
Monduli ni eneo la wamasai. Ccm haitaki kuwapa elimu ili waendelee.
Wachache walo soma wamronesha ni weledi
Sarakikya ni mkiu wa majeshi mahiri
Sokoine hakua na mfano
Lowassa kidume

Hivyo ccm wanawaogopa wanataka wawe hivo ili wawe kivutio cha watalii

Lowassa Kwisha Habari yake.
 
Monduli ni eneo la wamasai. Ccm haitaki kuwapa elimu ili waendelee.
Wachache walo soma wamronesha ni weledi
Sarakikya ni mkiu wa majeshi mahiri
Sokoine hakua na mfano
Lowassa kidume

Hivyo ccm wanawaogopa wanataka wawe hivo ili wawe kivutio cha watalii

Ukawa hamueleweki!
Nadhani maana ya thread ni kutaka kuleta tafakari juu ya kauli za mgombea wenu! Akipewa muda wa kuzungumzia Sera, yeye analeta porojo!
Hana ubavu wa kuongea kwa ten minutes! Hizi dk 5 anazojitutumua nazo analeta mambo ya "ndio mzee..."
Ameahidi kuzifuta nyumba za tembe kigoma! Yes yeye ni tajiri na tumeona akichangia makanisa, misikiti na vitu vingine mabilioni ya shilingi, lkn for more than 30 years alizoishi na wamasai wenzie hakuweza angalau kutengeneza visima vya kupump wenzie wakachote maji!
Hii haimaaanishi Butiama au chato ni kuzuri, hapa anashangaza yeye anayezizungumzia vibanzi vya watu wa kigoma na anasahau boliti za watu wake wa monduli!
Mwambieni arudi kuezeka kwkao kwanza kabla hajahamia vijiji vingine vyantanzania
 
Ni sehemu gani ambayo imeendelea Tanzania ambayo unajaribu kuilinganisha na Monduli? CCM pamoja na kuwa madarakani zaidi ya miaka 50 wamsshindwa kutatua kero za msingi za Watanzania na hasa suala la maji safi, huduma za afya, elimu na nishati ya umeme. You can imagine baada ya miaka 50 hata Dar Es Salaam imewashinda kuwa na maji ya uhakika, leo unaishangaa Monduli?

Huna point hapa.

Tiba
 
Hahahahahah mr chin ushafika monduli wewe hakuna kitu chochote cha kuzaliza hela lakini mmaendeleo ya hapo ni tofauti na shinyanga town ambapo kuna vyanzo vya madini jiongeze kijana. Tumbo linakuponza
 
Ukawa hamueleweki!
Nadhani maana ya thread ni kutaka kuleta tafakari juu ya kauli za mgombea wenu! Akipewa muda wa kuzungumzia Sera, yeye analeta porojo!
Hana ubavu wa kuongea kwa ten minutes! Hizi dk 5 anazojitutumua nazo analeta mambo ya "ndio mzee..."
Ameahidi kuzifuta nyumba za tembe kigoma! Yes yeye ni tajiri na tumeona akichangia makanisa, misikiti na vitu vingine mabilioni ya shilingi, lkn for more than 30 years alizoishi na wamasai wenzie hakuweza angalau kutengeneza visima vya kupump wenzie wakachote maji!
Hii haimaaanishi Butiama au chato ni kuzuri, hapa anashangaza yeye anayezizungumzia vibanzi vya watu wa kigoma na anasahau boliti za watu wake wa monduli!
Mwambieni arudi kuezeka kwkao kwanza kabla hajahamia vijiji vingine vyantanzania

Hahahahah keshajua ccm ilivyo kaka sasa anaingia kufanya kazi na kuondoa keshajua mfumo wa kuondoa umaskini tanzania kupitia ccm ni ndoto. Always kinachonufaisha chama kinapewa kipao mbele kuliko nchi tutafika kweli chama kina mijengo chungu nzima lakini kuna shule hata choo hakuna, wanafunzi wanasoma nje wengine wanakaa chini wat shame alafu wansema cheki mjengo sijui wanaakili au matope hawa. nlipita maeneo ya mpwapwa mpaka nikatazama chini machozi yakanitoka jinsi watu wanateseka lakini picha za wagombea wa ccm zimebandikwa mpaka kwenye milango kwa viela walivyopewa tu kipindi hiki cha kampeni hawajui wat next. Sisemi kuwa ukawa ndo suluisho ila kuna haja kubwa sana ya kubadilisha CCM na kuweka chama kingine ili kuondoa ile hulka ya mazoea.CCM wamejisahau sana yani sana
 
Monduli yaongoza kwa huduma mbovu za
afya
Monduli imeongozwa na Lowassa akiwa mbunge
wao kwa zaidi ya miaka 35,lkn kwa miaka yote
hiyo bado Monduli inaongiza kwa huduma mbovu
za afya,wananchi wanachangia maji na
Ng'ombe,walimu hawapewi haki zao ikiwemo
likizo.
Mtu ambae kashindwa kuwajibika kwa jimbo lake
tu,leo anawadanganya wananchi kuwa matatizo
itakuwahistoria,...fanteni tafiti mjiridhishe.
Mtu kutoka ccm sio kugezo cha kutokubalika
kama baadhi ya watu wanavyotaka
kutuaminisha,lkn ni vyema tukafuatilia historia ya
mtu kupinga dhulma,rushwa na ufisadi wakati
yupo ccm.
Katika kufuatilia kwangu siasa,sijawahi kumuona
lowassa akiwapinga ccm kwa vitendo vya dhulma
,Rushwa,ufusadi kama wanavyopinga wana ccm
wenzake kama Deo Filikunjombe,Kangi
Rugola,Hamisi Kigwangala ,Ole Sendeka pamoja
na Mwigulu nchemba.
Je Lowassa aliwahi kupinga nini na wapi vitendo
vya Kifisadi,rushwa na dhulma?
Kunguru hawezi kuwa kuku hata ukimlea vipi,ni
mjinga tu anaedhani kuwa fisadi papa anaweza
kuaminiwa kuwa mlinzi mkuu wa mali ya umma.

Wewe jamaa ebu #KITULIZE KWANZA alafu kabla ya kuongelea MONDULI EBU TUPE NA HABARI ZA CHATO PIA...NASEMA HIVIII MUMEKWISHA NYIE MAFISIEMU NA HATUWAELEWI TENA ATA MSEME NINI JUU YA "EDWARD LOWASSA" MAANA IMESHAONEKANA WAZI KUMUANDAMA KWENU KUNATOKANA NA YEYE KUGOMBEA URAIS AMBAPO AMEKUA TISHIO KWA HUYO MGOMBEA WENU MAKOMEO!
 
Poleni sana wakazi wa monduli

AMA KWELI CHUKI NI KIDONDA...PUNGUZA KUMCHUKIA "EDWARD LOWASSA" ATA KAMA SIO MGOMBEA WAKO,YANI UZI UMEANZISHA MWENYEWE NA KUCOMMENT UMEANZA WEWE...Mhhh????
 
Back
Top Bottom