Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

Monduli ipo nyuma kimaendeleo kuliko sehemu zote

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
MONDULI IPO NYUMA KIMAENDELEO KWASABABU YA LOWASSA

Lowassa anadai kuwa, akichaguliwa kuwa Rais atazitoa nyumba zote za Majani na kuwatajirisha watu. Lowassa anasema yeye anachukia sana umaskini.

Hebu tuangalie Monduli ambayo Lowassa anatoka na nini kafanya huko miaka yote aliyo kuwa Mbunge na Waziri Mkuu. Hakika Lowassa anawarubuni watu na hana jipya zaidi ya kulaghai Watanzania.

poor-5.jpg

Hapa ni kijiji cha Nanja, Monduli.

traveling_with_purpose_-maasai_tribe_3_.jpg

Maisha ya wana Monduli

DSC_0882.JPG

Hapa ni sehemu watu wa Monduli wanakuja kununua vitu.

IMG_8628.JPG

Hii ni nyumba, ipo Monduli Juu.
32.jpg

Mama wa Kimasai anajenga nyumba ya Tembe ambazo zimejaa Monduli yote.

Lowassa hafai na hana uwezo wa kuwa Rais wa Tanzania.
 
Hata Butiama kuko hivyohivyo. Ni kiongozi mwenye akili fupi tu ndio ataanza kufikiri kupendelea nyumbani kwao!
 
mimi namchagua lowasa awe rais wa nchi hii,na wewe je?
 
Monduli yaongoza kwa huduma mbovu za
afya
Monduli imeongozwa na Lowassa akiwa mbunge
wao kwa zaidi ya miaka 35,lkn kwa miaka yote
hiyo bado Monduli inaongiza kwa huduma mbovu
za afya,wananchi wanachangia maji na
Ng'ombe,walimu hawapewi haki zao ikiwemo
likizo.
Mtu ambae kashindwa kuwajibika kwa jimbo lake
tu,leo anawadanganya wananchi kuwa matatizo
itakuwahistoria,...fanteni tafiti mjiridhishe.
Mtu kutoka ccm sio kugezo cha kutokubalika
kama baadhi ya watu wanavyotaka
kutuaminisha,lkn ni vyema tukafuatilia historia ya
mtu kupinga dhulma,rushwa na ufisadi wakati
yupo ccm.
Katika kufuatilia kwangu siasa,sijawahi kumuona
lowassa akiwapinga ccm kwa vitendo vya dhulma
,Rushwa,ufusadi kama wanavyopinga wana ccm
wenzake kama Deo Filikunjombe,Kangi
Rugola,Hamisi Kigwangala ,Ole Sendeka pamoja
na Mwigulu nchemba.
Je Lowassa aliwahi kupinga nini na wapi vitendo
vya Kifisadi,rushwa na dhulma?
Kunguru hawezi kuwa kuku hata ukimlea vipi,ni
mjinga tu anaedhani kuwa fisadi papa anaweza
kuaminiwa kuwa mlinzi mkuu wa mali ya umma.
 
MONDULI IPO NYUMA KIMAENDELEO KWASABABU YA LOWASSA

Lowassa anadai kuwa, akichaguliwa kuwa Rais atazitoa nyumba zote za Majani na kuwatajirisha watu. Lowassa anasema yeye anachukia sana umaskini.

Hebu tuangalie Monduli ambayo Lowassa anatoka na nini kafanya huko miaka yote aliyo kuwa Mbunge na Waziri Mkuu. Hakika Lowassa anawarubuni watu na hana jipya zaidi ya kulaghai Watanzania.

poor-5.jpg

Hapa ni kijiji cha Nanja, Monduli.

traveling_with_purpose_-maasai_tribe_3_.jpg

Maisha ya wana Monduli

DSC_0882.JPG

Hapa ni sehemu watu wa Monduli wanakuja kununua vitu.

IMG_8628.JPG

Hii ni nyumba, ipo Monduli Juu.
32.jpg

Mama wa Kimasai anajenga nyumba ya Tembe ambazo zimejaa Monduli yote.

Lowassa hafai na hana uwezo wa kuwa Rais wa Tanzania.
Kila sehemu ina mjini na kijijini he hizo picha in za wapi Monduli mjini au kijijini?
 
huu ni ujinga uliokithiri! wamasai ndio walioweza kudumisha mila zao hadi leo,hapo unapoona wana maendeleo tena sana ila kamwe hawawezi kuruhusu maisha yao ya asili yapotee
 
Monduli yaongoza kwa huduma mbovu za
afya
Monduli imeongozwa na Lowassa akiwa mbunge
wao kwa zaidi ya miaka 35,lkn kwa miaka yote
hiyo bado Monduli inaongiza kwa huduma mbovu
za afya,wananchi wanachangia maji na
Ng'ombe,walimu hawapewi haki zao ikiwemo
likizo.
Mtu ambae kashindwa kuwajibika kwa jimbo lake
tu,leo anawadanganya wananchi kuwa matatizo
itakuwahistoria,...fanteni tafiti mjiridhishe.
Mtu kutoka ccm sio kugezo cha kutokubalika
kama baadhi ya watu wanavyotaka
kutuaminisha,lkn ni vyema tukafuatilia historia ya
mtu kupinga dhulma,rushwa na ufisadi wakati
yupo ccm.
Katika kufuatilia kwangu siasa,sijawahi kumuona
lowassa akiwapinga ccm kwa vitendo vya dhulma
,Rushwa,ufusadi kama wanavyopinga wana ccm
wenzake kama Deo Filikunjombe,Kangi
Rugola,Hamisi Kigwangala ,Ole Sendeka pamoja
na Mwigulu nchemba.
Je Lowassa aliwahi kupinga nini na wapi vitendo
vya Kifisadi,rushwa na dhulma?
Kunguru hawezi kuwa kuku hata ukimlea vipi,ni
mjinga tu anaedhani kuwa fisadi papa anaweza
kuaminiwa kuwa mlinzi mkuu wa mali ya umma.
Kabla hatuajadili Monduli tuanzie kwanza chalinze, tangu jk alipoanza kuwa mbunge, hadi sasa anamaliza uraisi, pakoje? kwenye elimu na maji ni aibu sikutegemea kabisa kwa nilichokiona.
 
mbona magufuli kajitaidi sana kwenye jimbo lake jaman wakati kipunga hana sasa tajir kabisa mambo yanakua hivyo??? sasa siangeanza kuwapa mabati kwao
 
monduli ipo nyuma kimaendeleo kwasababu ya lowassa

lowassa anadai kuwa, akichaguliwa kuwa rais atazitoa nyumba zote za majani na kuwatajirisha watu. Lowassa anasema yeye anachukia sana umaskini.

hebu tuangalie monduli ambayo lowassa anatoka na nini kafanya huko miaka yote aliyo kuwa mbunge na waziri mkuu. Hakika lowassa anawarubuni watu na hana jipya zaidi ya kulaghai watanzania.

poor-5.jpg

hapa ni kijiji cha nanja, monduli.

traveling_with_purpose_-maasai_tribe_3_.jpg

maisha ya wana monduli

dsc_0882.jpg

hapa ni sehemu watu wa monduli wanakuja kununua vitu.

img_8628.jpg

hii ni nyumba, ipo monduli juu.
32.jpg

mama wa kimasai anajenga nyumba ya tembe ambazo zimejaa monduli yote.

lowassa hafai na hana uwezo wa kuwa rais wa tanzania.

chato kukoje
 
Kama mabadiliko yameshindikana monduli kwa zaidi ya miaka 20,itawezekana Tanzania kwa miaka 5?Tafakari
 
Kila sehemu ina mjini na kijijini he hizo picha in za wapi Monduli mjini au kijijini?
Kumbe wewe ni shabiki tu na haufa data. Hakika mmeliwa akili nyie wafuata Kigeugeu.
 
Back
Top Bottom