Kila sehemu ina mjini na kijijini he hizo picha in za wapi Monduli mjini au kijijini?
Ameshindwa kwao ndio aweze Shinyanga. Hivi vichwa vyenu vinanini? Ukwaism is killing you guys.Safi sana inaonesha yeye ni mtanzania na sio mkaskazini ....kwani amepeleka maji Syinyanga na Tabora lakini sio kwao...huyu hakika ni mtanzania na anafaa kuchaguliwa
^^^^M^^^^A^^^^G^^^^U^^^^F^^^^U^^^^L^^^^I^^^^°°°°°°°°°>>>>>>>>>^>>^^>>>>>>>>>>>
\\\\\\\\\¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦
\\\\\\\\\¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦ >>>>>>>>>>>>#HaPaKaZiTu.
Imejipost.
Swafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii haina upingamizi^^^^M^^^^A^^^^G^^^^U^^^^F^^^^U^^^^L^^^^I^^^^°°°°°°°°°>>>>>>>>>^>>^^>>>>>>>>>>>
\\\\\\\\\¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦
\\\\\\\\\¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦¦ >>>>>>>>>>>>#HaPaKaZiTu.
Imejipost.
Kabla hatuajadili Monduli tuanzie kwanza chalinze, tangu jk alipoanza kuwa mbunge, hadi sasa anamaliza uraisi, pakoje? kwenye elimu na maji ni aibu sikutegemea kabisa kwa nilichokiona.
Poleni sana wakazi wa monduli
MONDULI IPO NYUMA KIMAENDELEO KWASABABU YA LOWASSA
Lowassa anadai kuwa, akichaguliwa kuwa Rais atazitoa nyumba zote za Majani na kuwatajirisha watu. Lowassa anasema yeye anachukia sana umaskini.
Hebu tuangalie Monduli ambayo Lowassa anatoka na nini kafanya huko miaka yote aliyo kuwa Mbunge na Waziri Mkuu. Hakika Lowassa anawarubuni watu na hana jipya zaidi ya kulaghai Watanzania.
![]()
Hapa ni kijiji cha Nanja, Monduli.
![]()
Maisha ya wana Monduli
![]()
Hapa ni sehemu watu wa Monduli wanakuja kununua vitu.
![]()
Hii ni nyumba, ipo Monduli Juu.
![]()
Mama wa Kimasai anajenga nyumba ya Tembe ambazo zimejaa Monduli yote.
Lowassa hafai na hana uwezo wa kuwa Rais wa Tanzania.
Kilio kinakuanza mapema hii. Matembe yamejaa Mondulina chato kwa magufuli kuko kama marekani?acha upumbavu kenge wew
Ameshindwa kwao ndio aweze Shinyanga. Hivi vichwa vyenu vinanini? Ukwaism is killing you guys.
Kumbe hakuwa na ukipaumbele alipokuwa Mbunge wa Monduli ndio aiweze Tanzania. Lowassa kigeugeu hana sera.Kwani anatoa pesa mfukoni ? Maendeleo yanapangwa kwa kipau mbele. Ukipewa nafasi sio ukawanengee nduguzo.....basi mchagueni magufuli thn aweke wahaya watupu na ikulu ahamishie chato.....jitambue
Monduli is the worstKwani ni wapi tanzania kuna huduma nzuri za afya.? Kuna watu mnashangaza sana
Bagamoyo mpaka leo watoto wanakaa chini,wanasomea chini ya mkuyu.Shule ina mwalimu mmoja.Monduli is the worst
Kabla hatuajadili Monduli tuanzie kwanza chalinze, tangu jk alipoanza kuwa mbunge, hadi sasa anamaliza uraisi, pakoje? kwenye elimu na maji ni aibu sikutegemea kabisa kwa nilichokiona.