Edward Sambai
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 2,822
- 3,832
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Ungejiuliza swali moja.
Kwanini wafuwasi wa Lowasa hawakuhama chama kipindi cha nyuma lowasa alipokuwa akigombea uraisi?
Je! ni kwanini kipindi hiki ndio wafuasi wa Lowasa ndio wariact?
Pia nmsome mkuu Swadataa
Hoja ni kukiuka taratibu, kanuni na maadili ya chama kuwapata wagombea. Je mleta mada hvyo vilizingatiwa? Wafuasi wa watia nia uliyowataja ndio 'hamnazo' maana hamwezi mkafumbia uchafu uliyojitokeza. Waliyo na maskio wamesikia na wameihama CCM.