Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Acha kupotosha,wanachokitaka ni kule democrasia ndani ya CCM haikufuatwa na badala yake wachache wakajipangia chaguo lao. CCM acha tu isepe.
tatizo lako ni hili: huamini kinachitokea hivyo umeamua kumwaga yaliyopo kwenye ubongo wako hata kabla hujafikiri vyakutosha! Unamfananisha Lowasa na watia nia wengine!!! Bwana harusi na mpambe wapi na wapi! Tafakari!!!Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
KCCM taifa kubwa mpokeeni EL halafu ndo mtajua CCM taifa kubwa na Chadema mtashangaa. Majuto sikuzote Mjukuuu.
Wee ndo npuuzi kabishaaa.thread yako ya hovyooo
Leta ya kwako mkuu ambayo si ovyo!! Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake na huo ndiyo ukwel!! Hawa madiwan wameonyesha utoto, ukabila na ukanda!! Na kama kanda ya ziwa tukiamua kuwa na ukanda kila wakati raisi atatoka kwetu!!
Siasa za Tanzania zina ukabila ,you cannot ignore it
kwa yaliyotendeka dodoma watanzania wote wapenda haki walipaswa kuihama kabisa ccm. wanaoendelea kubaki huko ni kwa ajili ya matumbo yao tu.
Nadhani sasa wanawakilisha/kupaza sauti zao kwa matendo. Wameambiwa mchakato ulikuwa batili, mfumo wa uteunzi ulinajisiwa, by the way kuna baadhi za kauli Nazo zimechagiza hayo yanayoendelea kwa sasa! Demokrasia ndg yangu ni Kama shillingi, ina Pande mbili ndg yng! Muhimu Heshima tu uamuzi wao.Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Sisi wakazi wa simiyu hatujawaona wewe umewaona wapi wakati unaishi uchagani?Kwani wale madiwan 26 waliohamia chadema kule simiyu ni wa kaskazini? Acha ujinga pakashume wewe
Tatizo lipo ktk utaratibu wakumkata jina haukufanyika kwakufuata taratibu za chama.Hilo ndiyo wajumbe wengi walilokuwa wanalipinga.
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.
Ni upuuziiii.....
Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?
Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?
Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.