MONDULI CCM: Ni upuuzi mtupu

MONDULI CCM: Ni upuuzi mtupu

Wazalendo wa kweli wote, hameni huko njooni huku CDM mambo yamewiva kuelekea magogoni.
 
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.

Ni upuuziiii.....

Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?

Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?

Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.

nishida hata mim ni wa kaskazn mbona naona poa tu jamaa kukatwa! Kidumu chama chamapinduz
 
Ni dalili za wanasiasa wanaopenda ukabila, ujimbo na ukanda. Haiingii akilini kuwa mtu Wa kabila lenu au kwenu asipochaguliwa kuwa mgombea Wa chama kwenye urais basi mnahama chama.

Ni upuuziiii.....

Je na sisi tunaotoka kwa mwandosya, Wasira, bilal, membe na wengineo tuhame pia?

Je huko UKAWA asipopitishwa huyo MTU wenu mnarudisha kadi mnaenda wapi?

Ni upuuzi, ni upuuuzi nasema.
Swala sio ukanda na ukabila ila ni ni namna uteuzi ulivyofanyika kwa hila. Wanaopinga sio wamasai au watu wa Arusha tu hata watu mbali mbali kutoka sehemu nyingine za nchi wanapinga. Kingunge anatoka Arusha? Wale vijana wa vyuo vikuu nao wanatoka Arusha? Wako pia watu kutoka huko kwa Mwandosya ambao hawakuridhika pia na utawaona. Mbona hata huyo Wassira anatoka kaskazini kama ilivyo kwa Migiro, Maguguli, Muhongo na Sumaye?
 
Na wale wanaokosoa uteuzi Wa ccm Wakati ni makada Wa ccm ni vema wakarudisha kadi pia wakaenda chadema mapema kuliko kulalamika mitaani. Urais si fadhila kwamba Mtu aliyetumia fedha nyingi kushawishi watu wampende au wajitokeze kutangaza nia ndo apewe urais. LA hasha urais ni zaidi ya hapo.

Mkuu hii sentensi ina unzito sana. Naomba niitumie kama siganture yangu.
 
Simiyu madiwani 11 wa ssm wamejiunga CHADEMA jana, unamaanisha Cheyo na Chenge nao walikatwa Dodoma! Kitu ambacho hujakijua na unatakiwa ukifuatilie ili ukijue ni kwamba CCM haitakiwi tena nchini Tanzania.

Daaah chadomo kweli mapompopo ,hivi sasa kuna diwani? Mabaraza yalivunjwa toka tar. 8 .7.2015, acheni siasa nyepesi
 
Daaah chadomo kweli mapompopo ,hivi sasa kuna diwani? Mabaraza yalivunjwa toka tar. 8 .7.2015, acheni siasa nyepesi
Punguza hasira, asiforce kuzuia mabadiliko, jiandae kisaiklojia tu wala mabadiliko hayatakuumiza.
 
Daaah chadomo kweli mapompopo ,hivi sasa kuna diwani? Mabaraza yalivunjwa toka tar. 8 .7.2015, acheni siasa nyepesi
Na bunge limevunjwa!? 1013626_975313849187611_4044738121130284238_n.jpg
 
Back
Top Bottom