Wakati Lema akilalamika Monaban anamwaga sera zake Arusha

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,412
Reaction score
31,916
Mgombea ubunge wa Arusha ndugu Godbless Lema ameitisha conference na waandishi wa habari akituhumu kuwa mabalozi wa nyumba kumi kumi wanapita kwa wananchi kuchukua vitambulisho.

Lawama hizi za kitoto zimeushangaza umma wa wachambuzi wa matukio kwani ni huko huko Arusha ndio tunaambiwa CCM imefutika kabisa sasa sijui hao mabalozi wa ccm wametokea wapi kiasi cha lema kuingiwa baridi.

Lema ameshindwa kufanya kampeni zenye mashiko ...amekosa sera kiasi kwamba kampeni zinazofanywa na ukawa Arusha ni kupitia magari yaliyofungwa spika na kupiga kelele za santuri zilizorekodiwa za nyimbo mbali mbali za mikutano ya siasa.

Lema anashindwa kuvuta watu na kuwahutubia kwa kutoa sera.

Wakati lema akipigania kiti kwa mbinu za ulalamishi mwenzake wa CCM ndugu Philemon Mollel aka Monaban anaendelea kuiteka Arusha kwa kuja na sera zenye utekelezaji mwepesi.

Baadhi ya sera za Monaban ni pamoja na
1-Kuanzisha mfuko wa mikopo kwa kina mama na wafanya biashara wadogo

2-kutoa mikopo ya pikipiki kwa vijana 30 kila kata jijini Arusha

3-Kulipia bima za Afya za wazee na makundi yasiyojiweza ili wapate matibabu bure kulingana na sera ya afya.

4-Kujenga soko maalum la madini ya Tanzanite

Monaban amemshika koo lema na oktoba 25 anamkata !!

Source:Triple A fm
 
Hahaha ccm arusha ikisha sahaulika baba lamda arusha ingine
 
Jingalao..nipo Arusha siku ya 4 leo..sio tu kwa kuhoji laa..kwa kuona pia huku hata kampeni za chama chetu zahudhuriwa na kina mama wenye sare tu tena wacheche mnoo kutoka maeneo ya mbali sana. Hali yetu si nzuri kama kasema hivyo ujue ni ule mwendelezo wa kulaumu wa UKAWA ambao ushazoeleka. Ila kukatwa Lema ama Lowasa kwa Arusha mmh ni ndoto.
 
Tenzi sa jongalao zinaniacha hoi kwani hazina mashiko!
 
Hivi hawa wanaogombea ubunge wanajua majukumu ya wabunge kweli?

Mbunge (parliamentarian) anapozungumza kama serikali (state) huwa inanipa mashaka sana

Ila tumewaroga sisi wenyewe wananchi
 
Jingalao..nipo Arusha siku ya 4 leo..sio tu kwa kuhoji laa..kwa kuona pia huku hata kampeni za chama chetu zahudhuriwa na kina mama wenye sare tu tena wacheche mnoo kutoka maeneo ya mbali sana. Hali yetu si nzuri kama kasema hivyo ujue ni ule mwendelezo wa kulaumu wa UKAWA ambao ushazoeleka. Ila kukatwa Lema ama Lowasa kwa Arusha mmh ni ndoto.

mkuu tuma picha tukiamini..sio porojo
 
Mgombea ubunge wa Arusha ndugu Godbless Lema ameitisha conference na waandishi wa habari akituhumu kuwa mabalozi wa nyumba kumi kumi wanapita kwa wananchi kuchukua vitambulisho.

Lawama hizi za kitoto zimeushangaza umma wa wachambuzi wa matukio kwani ni huko huko Arusha ndio tunaambiwa CCM imefutika kabisa sasa sijui hao mabalozi wa ccm wametokea wapi kiasi cha lema kuingiwa baridi.

Lema ameshindwa kufanya kampeni zenye mashiko ...amekosa sera kiasi kwamba kampeni zinazofanywa na ukawa Arusha ni kupitia magari yaliyofungwa spika na kupiga kelele za santuri zilizorekodiwa za nyimbo mbali mbali za mikutano ya siasa.

Lema anashindwa kuvuta watu na kuwahutubia kwa kutoa sera.

Wakati lema akipigania kiti kwa mbinu za ulalamishi mwenzake wa CCM ndugu Philemon Mollel aka Monaban anaendelea kuiteka Arusha kwa kuja na sera zenye utekelezaji mwepesi.

Baadhi ya sera za Monaban ni pamoja na
1-Kuanzisha mfuko wa mikopo kwa kina mama na wafanya biashara wadogo

2-kutoa mikopo ya pikipiki kwa vijana 30 kila kata jijini Arusha

3-Kulipia bima za Afya za wazee na makundi yasiyojiweza ili wapate matibabu bure kulingana na sera ya afya.

4-Kujenga soko maalum la madini ya Tanzanite

Monaban amemshika koo lema na oktoba 25 anamkata !!

Source:Triple A fm

Ondoa takataka zako wewe mhuni tu. Hatutaki propaganda za kihuni hapa. Wewe uko Arusha ya wapi?
 
Source:Triple A fm[/
Viva arusha viva chadema viva ukawa , huja jua monaban mwenyewe atampigia kura lema ,
 
Esso ya wapi? Acha uhuni! Hakuna Raia wa wa haiba yako mitaa hiyo.

Wewe uko wapi??mimi nimezaliwa na kukulia mitaa ya kibla kama unaijua au kama ulishazaliwa kipindi hiko.
 
Back
Top Bottom