Monaban-lema ataajiriwa kuwa mlinzi !

Monaban-lema ataajiriwa kuwa mlinzi !

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,148
Reaction score
31,679
Mgombea ubunge jimbo la Arusha kupitia ccm ndugu Philemon Mollel aka Monaban amezidi kumkalia kooni Mgombea wa Chadema Godbless lema na kumwambia Arusha inahitaji mbunge makini na msomi,kwa kuwa lema anapenda sana kazi ya ukamanda basi watu wa Arusha watamuachia ulinzi wa stand ya vi-hiece.

N.B: Bunge halihitaji makamanda bali vichwa makini vya kutungia sheria na kutetea sera za maendeleo.
 
Hahahahahaaaa nakuona mkuu na post zinazokuweka mjini, tukutane October 25
 
Mgombea ubunge jimbo la Arusha kupitia ccm ndugu Philemon Mollel aka Monaban amezidi kumkalia kooni Mgombea wa Chadema Godbless lema na kumwambia Arusha inahitaji mbunge makini na msomi,kwa kuwa lema anapenda sana kazi ya ukamanda basi watu wa Arusha watamuachia ulinzi wa stand ya vi-hiece.
Kwani lema sio msomi?!
 
Kwani lema sio msomi?!

Kweli akutukanaye hakuchagulii tusi!
Lema na Mbowe elimu zao hazieleweki...walivyopata sapoti ya wasomi wakaleta ujuaji sasa watu wanawapiga chini
 
Mbali na kata ya Kati CCM Arusha hawabebi kata yeyote wala ubunge!! Angesimama Nnyari at least kungekuwa na upinzani
 
Mgombea ubunge jimbo la Arusha kupitia ccm ndugu Philemon Mollel aka Monaban amezidi kumkalia kooni Mgombea wa Chadema Godbless lema na kumwambia Arusha inahitaji mbunge makini na msomi,kwa kuwa lema anapenda sana kazi ya ukamanda basi watu wa Arusha watamuachia ulinzi wa stand ya vi-hiece.
Ubunifu wa CCM ni maandishi ya kwenye Kanga za wamama. Badala ya kujikita katika kutoa sera za kuwapatia wananchi maendeleo CCM wameishia kutukana na kukejeli wapinzani pasipo kujua kwamba muda ule wanaotumia kuwatusi wapinzani wenzao wanautumia kuwapa watanzania sera za kimaendeleo.
 
Kuhusu sera rejea ilani ya ccm ambayo kila mgombea anakabidhiwa jukwaani mchana kweupe.
Ukawa walishatuambia ilani yao ipo kwenye tovuti na tulipokwenda huko tumekuta list of shame imefutwa ...tukastukia sera za UKAWA-2015 ni kuunga mkono ufisadi.
 
Monaban leo kahutubia wanawake aliowaleta Moivaro toka matejoo.

Cha ajabu anataja mpaka pumpus aliotoa misaada kwa vituo vya watoto yatima na unga aliotoa msaada hai.

Huyu darasa la nne kutoa misaada kwa yatima ndio atangaze?

Amedai wapangaji wa vyumba Arusha ni masikini anataka kuwasaidia unga..wapangaji wamemchukia sana.

Mbele ya lema ameshashindwa.
 
Lema alipewa unga wa msaada akaingia nao mitini!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom