MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Kama Profesa Maji marefu, au sio?Mgombea ubunge jimbo la Arusha kupitia ccm ndugu Philemon Mollel aka Monaban amezidi kumkalia kooni Mgombea wa Chadema Godbless lema na kumwambia Arusha inahitaji mbunge makini na msomi,kwa kuwa lema anapenda sana kazi ya ukamanda basi watu wa Arusha watamuachia ulinzi wa stand ya vi-hiece.
N.B: Bunge halihitaji makamanda bali vichwa makini vya kutungia sheria na kutetea sera za maendeleo.