Bazenga01
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,211
- 2,273
Hiyo ndo inaitwa, Nje Ntiti, ndani ntiti..UkifanyA kosa unapigwa , ukilia unaongezwa ,usipolia ni kiburi unaongezwa kichapo ili ulie na ukilia utapigwa tena ili unyamanze... hii mechanism hakuna aliyewahi kuielewa