Moms of now Vs moms then

Moms of now Vs moms then

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
1096454
 
I miss the old moms i see me in th at ujlze bila 7bu kofi moja unalala had kesho wanaolea kizungu wanipishe mbal ndo maana mpka vtoto vnakua vshoga wanacheka cheka tu
 
Dah nilkuwa naenda kucheza mpira jion alaf nikirud nimechoka sifanyi homework..ikifika asubuh nasingizia naumwa... Maza ananipeleka skul kwa nguvu nafikia viboko vya uchelewaji na kutofanya kazi... Nilkuwa namuona katili sana... Mpaka nilinyooka dah... Sikuhizi madogo apa mtaani naona wanaamua tu kuacha kwenda skuli
 
Bora hvyo job kuna kitoto kilpewa suspension wik 3 kmeenda home hakijatoa barua kmekaa wk 3 zmeisha kmemwambia mamake nipeleke shule [utaratbu wa suspensn lazma uje na mzaz siku ya kurud] kafka maza anasema nmeitwa nije anaulza unajua chochote hajui dogo anaulzwa barua akasema iko home
Boss akamuongezea wik 2 nyngne akasepa na mamake
Sasa ujiulze wik 3 wanapishana mtoto haj shule amuulza wanaish tu afu yuko form 4 sasa ni hatar
 
Mama anastress ya kupata hela ya vikoba au nae ana buzz lake akitoka kazini anakwenda kula nyama choma. Mambo ni mengi muda ni mchache
 
Bora hvyo job kuna kitoto kilpewa suspension wik 3 kmeenda home hakijatoa barua kmekaa wk 3 zmeisha kmemwambia mamake nipeleke shule [utaratbu wa suspensn lazma uje na mzaz siku ya kurud] kafka maza anasema nmeitwa nije anaulza unajua chochote hajui dogo anaulzwa barua akasema iko home
Boss akamuongezea wik 2 nyngne akasepa na mamake
Sasa ujiulze wik 3 wanapishana mtoto haj shule amuulza wanaish tu afu yuko form 4 sasa ni hatar
Sasa hiv kina mama wapole sana wanafeli sana... Yule dingi yangu au maza akuone home mamaaa.... Kulikuwa na fimbo fulani hiv wanakata na kuichoma.. Haikatiki lazma unyooke
 
Tena kuna wengìne ashakupiga unalia halafu anasema "sijakupiga bado ww endelea tuu" nikisikia hivyo nanyamaza mwenyewe mana najiuliza ntapigwaje zaid ya vile. Ila mikwara ya wazazi wa zaman ilisaidia sana kutujenga.
 
Back
Top Bottom