Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,204
- 99,943
Huyo unaemuona hapo ni "Local Made Traffic" hahahahaaaa dogo anafanya kazi nzuri sana maana hio kona sio mchezo kwahio kazi ya dogo ni kusimama hapo kutwa nzima kuzuia magari yanayokuja, ukikosea hio kona kuna metres za kutosha huko chini
Hizi ni Baadhi ya picha chache nilizofanikiwa kuwawekeeni kama zawadi za Lushoto
Picha hizi za kwanza zinaonyesha magari yanavyopisha, hio NOAH ilikua mbele yetu, hio ni Shambalai ya Dar-Lushoto na hio ni Coster ya Tanga-Lushoto, na hio NOAH inapiga trip Mombo-Lushoto
Hapa jamaa amepaki ili kupisha tupite, huku ni full busara na sio sheria. Hizo ni views za bara bara na mazingira mengine