Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,427
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007