Mombasa port inahandle mizigo mara tisini ya Mtwara port

Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
16,017
16,427
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.

ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
 
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnea ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambayo ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.

ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007

With the most current data, how does dar port stack up against Mombasa?
 
This is not fair to mtwara Port, how can you compare mtwara to Mombasa port which handles twice the number of cargo that all Tanzanian ports handles when put together...
 
This is not fair to mtwara Port, how can you compare mtwara to Mombasa port which handles twice the number of cargo that all Tanzanian ports and all when put together...
They love mentioning Mtwara port so I want to put it in the big boys league. Either it swims or it sinks but I will give it a fair shot. But it sank. It is a white elephant that should never be mentioned in the same breathe with Mombasa port. Mtwara port is not worthy of tying the shoe laces of Mombasa port.
 
With the most current data, how does dar port stack up against Mombasa?
I have forgotten how many tonnes Dar port handles per year but what I know for a fact is that all three ports in Tanzania on the Indian ocean handle half the capacity of Mombasa port. All their three ports combined handle only half of what Mombasa port handles.
 
I have noticed the Tanzanians have ran away completely from this thread. MK254 they are too embarrased to comment. They haven't flooded it like you predicted. But it's okay. I understand the embarrasment is too much to bear so they have to ignore the thread.
 
So what ? I dont get your point man, kwani Bandari ya Mtwara inapanuliwa ili ishindane na Mombasa au ikidhi mahitaji ya Tanzania? Sijaelewa kabisa mantiki ya Mada yako, ...
 
I know you get my point. Wacha kujifanya huelewi

Sielewi kwani wamesema wanapanua Bandari ya Mtwara ili ishindane na Mombasa au yoyote yule ? I mean, lengo la kupanuliwa Bandari ya Mtwara ni lipi ?
 
Unachosema ni kweli kabisa ila unakosea kufanisha izo port 2. Sisi wa Tanzania tujua uwezo wetu na port zetu na tumeipongeza kwa sababu ni kweli iyo port imefikia icho kiwango na zikiongezeka 50,000 tonnes tutawapongeza tena kwa sababu tunadhamini icho kidogo sasa kama nyie huko Kunyaland hamna port ndogo zingine ambazo mta warecognize kwa yale madogo wanayofanya then hiyo ndo tofauti yetu. Fanyeni yenu bro msituletee ligi hizi zetu ndani zinatutosha. Keep fighting your own fights don't drag us in!!!!!!
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.

ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
 
the government’s future plan for Mtwara Port is to have four berths. “The old berth measures 380m in length while its yard has the size of 40,000 square metres. Therefore the construction of the second berth with a length of 300m will give us a berth of 680m in length,”. The second yard, currently under construction, measures 79,000 square metres.
Upon completion of the project next March, Mtwara Port will increase its cargo handling capacity from 400,000 tonnes per annum to 1000,000 tonnes. Mtwara Port, which is described as a natural harbour, is a strategic port for the country given its geographical position.

Bandari hii ina faida mbeleni kwani itawavutia wafanyabiashara wa Zimbabwe,Zambia,Malawi na DRC.

Hii pia ndo bandari kuu kwa ajili ya uuzaji wa gesi asilia inyopatikana mkoa wa Mtwara.
 
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.

ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
Usicho jua ni kuwa hiyo bandari ilikuwa imekufa. So kama inazidi kuamka lazima tutoe motivation both kwa watendaji lakini na wananchi na wafanyabiashara wanatumia bandari hii. Afu kwanini always Kenya ndo iwe reference yenu.

Unajua sisi Tuna bandari ngapi. Je unajua ukubwa wa Tanzania ni mara ngapi ya Kenya? Ukubwa wa ukanda wa pwani unajua ni zaidi ya km ngapi?

So hii nawapongeza wana Mtwara na watu wa maeneo yanayo wazunguka Kutumia bandari hiyo. Hebu watanzania hebu tujifunze kusifia vya kwetu.

Kazi yeyote bila motivation haiwezi kwenda. Tuendelee kupongezana kwa kadiri tunavyozidi kukua kimaendeleo katika nyanja ya familia, mtaa, kata, wilaya, mkoa na taifa kwa ujumla
 
Nimecheka sana wakati nimesoma tweet fulani inasherehekea Mtwara port kuongeza mara dufu kiwango cha mizigo inayohandle kutoka 106,000 tonnes hadi 273,000 tonnes. Jambo ambalo linachekesha sana ni kuwa wakati Mtwara port wanasherehekea kuhandle mizigo ya 273,000 tonnes kwa mwaka, Mombasa port wamekaa kimya ilhali wanahandle mizigo ya 30 million tonnes kwa mwaka. Yaani linganisha 273,000 tonnes na 30 million tonnes ndio uelewe kuwa Mombasa port inahandle mizigo mara tisini yaani (×90) ya Mtwara port. Sitaki siku nyingine kusikia Mtanzania yeyote akijaribu kutaja hio port. Mtwara port ni white elephant na Watanzania tafadhali msiitaje. Ni aibu kubwa sana kwa East Africa kuwa kuna kanchi ambako kana port ambako ni white elephant. Wacheni kutuaibisha sisi Watu wa Afrika Mashariki.

ichoboy01 Geza Ulole joto la jiwe The best 007
Naona umefanya vyema kufanya comparison kati ya bandari ya mtwara na Mombasa , maana Mombasa ndio bandari kubwa huko kwenu Kenya , kwan mombasa haiwezi kufiki hata kidogo bandari ya dar es salaam
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom