[Tanga ya Tajiri]
Senior Member
- Aug 30, 2015
- 183
- 49
Upumbavu huo unaosema ,,,Kwenu nyie wakenya Yafaa Sana Mombasa kuwa Ni mji wa PiLi kwa Ukubwa ,,,Coz Hata ivo Kenya Ni nchi ndogo Sana kieneo ,,Tofauti na Tanzania ,,,Iyo mombasa Yenu huku Tanzania Ni sawa Na mkoa wetu mdogo wa MorogoroMombasa si mji wa kijinga. Mombasa ni second City ya Kenya. Kuna ata maeneo ya kifahari mengi sana. Mombasa si mji hivi hivi. Na Tanga linganisha na Malindi au Lamu



,,,,Ukubwa wa Tanga Ni sawa na Malindi Watamu Lamu na Kilifi ,,,,Zote ziungane ndo Unapata Tanga mji wa Tanga



