Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,426
Hapa hii list ni ya nini??Tena hapo kwenye 6
Nimekupendelea ni Morogoro
Tanga ni 7
Hapa hii list ni ya nini??Tena hapo kwenye 6
Nimekupendelea ni Morogoro
Tanga ni 7
Wacha nitafute zingine, nitaziuploadDaah!! Mombasa safi sana!!! Hapo umetosha kuonesha Mombasa ishaibwaga Dar kwa mbali tena!! Asante kwa hzo picha kali!! Hebu tupe zingine