Mombasa City Gallery

mombasite gabriel

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
387
372
12118886_10154339137007516_1101819241902259770_n.jpg
15194539_1015349181944935_7142854873540041783_o.jpg
 
Kwa hapa afrika kiujumla sivutiwi na miji yake, mimi navutiwa na uvaaji wa watu wake especially masai na wengineo
 
kwa king kibakuli anapodai wanampenda. kweli?
Akiwa Na magavana wawili muhimu, gavana wa Nairobi Na Mombasa, ako na maconnection na ma fans ngazi za chini hadi juu, Mombasani anapendwa Sana, yani ako Na loyal fans ambao hawata msaliti, achana Na Yale mapepe yanayopewa wale wengine, pindi watakapo ishiwa watasalitiwa Ata hutaamini, lakini alikiba hata apoteze sauti bado mafans wake watakua naye

Joho, Kidero scramble for selfies with Ali Kiba after ODM bash.jpg
 
Back
Top Bottom