Mokeo kesi za uchaguzi 2010. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mokeo kesi za uchaguzi 2010.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by GAZETI, Sep 1, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,411
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Waungwana naomba kuuliza kuhusu kesi za uchaguzi mkuu mwaka 2010.
  Je! Kuna kesi ambazo zimeshatolewa maamuzi?
  Maamuzi yake yalikuwaje?
  Kama hakuna ni lini kesi hizi zitafikia tamati?
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mahakama hazina pesa za kuendeshea kesi za uchaguzi. Wameomba fungu hazina imekaa kimya.
   
 3. Sungurampole

  Sungurampole JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2011
  Joined: Nov 17, 2007
  Messages: 988
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa kumbukumbu zangu nimeskia mbili - ya Ubungo ambayo ameshinda Mnyika na ya Singida ambayo ameshinda Tundu. tamati sijui
   
 4. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,411
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Kwani haiwezekani hizo kesi ziendeshwe kwa gharama kama za kesi nyingine?
   
Loading...