Moja ya vitu matata kabisa ndani ya jiji

NDINDA

Platinum Member
Apr 4, 2011
10,332
47,084
PICHA HII INA VITU KADHAA MATATA JIJINI DAR ES SALAAM JE UNAWEZA KUVIGUNDUA NI NINI HIVYO?
5401491256_6da0d2bc70_b.jpg

KWA PICHA ZAIDI TEMBELEA HII LINK http://www.skyscrapercity.com/showthread.php?t=1265595&page=4 KUNA PAGE NNE NA HII NI YA MWISHO UNAWEZA KUANGALIA TOKA MWANZO KWA KUBONYEZA NEXT PAGE, KARIBU
 
Kwa kweli pametulia.
-Barabara Nzuri,
-Green revolution, miti ya kumwaga
-Zaid sana...kuna Tangazo la Salama Kondo, UKISHINDWA KUJIZUIA TUMIA SALAMA KONDO!

wAPI HII, Shekilango?
 
Mkuu hii picha yako ujaitolea maelezo ya kutosha inakuwa ngumu watu kuchangia

oh, mkuu , namaanisha kwa kuangalia picha hii unaweza kutambua vitu gani ambavyo kwa maoni yako ni vizuri na vinaathiri jamii yetu kwa ujumla, iwe kiuchumi kiafya au kivyovyote vile, kwa mfano mdau hapo juu amechangia uzuri wa barabara, uoto wa kijani, pia ukiangalia vizuri kuna hiyo mall ya mlimani city, kuna jengo la mikuntano na kuna nyumba nzuri nzuri huko nyuma ya mall, yaani unaweza kusema chochote kulingana na unavyoiona
 
Hii barabara ilijengwa vizuri sana ingawa ilichukua mda mrefu na ikalete kelele nyingi. Kinyume cha hii ni barabara ya kilwa road ambayo ilijengwa kwa mda mfupi sana na sifa tele za uharaka. kwa sasa kilwa road imejaa undulations. Usimamizi wa kazi ndio kitu cha msingi bila kujali mjenzi wa barabara anatoka nchi gani ( sum Nujoma -contractor Mchina na Kilwa rd contractor -mjapani)
 
That is Sam Nujoma Road - the best road in Dar. The greenish vegetation cover; magnificent road junction (to Sinza makaburini), sky clear from fumes. Mind you, the thing which makes the green vegetation before the junction going to Mwenge is the Evapotranspiration of the University of Dar es Salaam. Look at those service roads!
 
totally agree, thanks for your support and we welcome you at our tanzania sub forum at SSC , here you can enjoy a lot of photos about dar and zanzibar, tanzania tourism, and a lot of photos from diffenetent projects going on in tanzania.
dar and zanzibar photo gallery
Dar es Salaam and Zanzibar | Tanzania | City Gallery - Page 58 - SkyscraperCity
tanzania tourism
Tanzania Tourism - Page 16 - SkyscraperCity and Tanzania Tourism - Page 15 - SkyscraperCity

tanzania roads and highway
Tanzanian Roads/Streets/Highways/Expressways - Page 4 - SkyscraperCity and Tanzanian Roads/Streets/Highways/Expressways - Page 4 - SkyscraperCity
 
Mabango ya matangazo. Kwenye suala la kuyang'oa hayo mabango nampa Mh. Magufuli hongera na namtakia heri aweze kuharakisha uetekelezaji wa azma yake. Hawa municipal planners na enginners sijui wako wapi, toka lini mtu ukawa na uchafu kama huo kila mahala na hata kwenye makutano ya barabara?
 
Kwa kweli kupita barabara hii kabla ya kufika njia panda UDSM ni raha tupu, unateleza tu, hawa naona ni wachina wa enzi za mwalimu!
 
oh, mkuu , namaanisha kwa kuangalia picha hii unaweza kutambua vitu gani ambavyo kwa maoni yako ni vizuri na vinaathiri jamii yetu kwa ujumla, iwe kiuchumi kiafya au kivyovyote vile, kwa mfano mdau hapo juu amechangia uzuri wa barabara, uoto wa kijani, pia ukiangalia vizuri kuna hiyo mall ya mlimani city, kuna jengo la mikuntano na kuna nyumba nzuri nzuri huko nyuma ya mall, yaani unaweza kusema chochote kulingana na unavyoiona
Kama kweli Dar imejengwa kiasi hiki kwa barabara, tunaelekea kuzuri. Huyu Bwn Maghufuli apewe nafasi ili azidi kuboresha mandhali ya Jiji letu.
Hiyo Greenery ni murua saana, spacing ya barabara ni International Standard, kama tupo Japan vile. Hiyo ndiyo Dar-Es-Salaam tunayoitaka isiyo na jam za barabarani, magari yanatembea kwa uhuru. Environment ni swadacta. Ubarikiwe. Good post kijana!!!!!!!!!
 
IMG_0314.jpg

uswazi.jpg

HIZI NAZO TUSIZISAHAU, BONGO NI YETU WOTE, MATAJIRI NA MASIKINI.

DSC03589.JPG

image007.jpg
image007.jpg
Ndg wana jamii this is very serious na hawa ndugu zetu wanahitaji kufaidi matunda ya uhuru tusije kuwa sahau. Nauliza wanajamii na wataalamu wa mazingila, mipango miji na mazingira Mama Tibaijuka, hawa wasaidwe vipi?????
 
DSC03589.JPG

Huu ndio ukweli wenyewe....Kwa mtu anayeishi eneo hili na nyumba za aina hii unapomtakia maisha bora kwa kila mtanzania ni wazi unampa msamiati wa kumdhihaki tu na si vingine..!!
 
IMG_0314.jpg

uswazi.jpg

HIZI NAZO TUSIZISAHAU, BONGO NI YETU WOTE, MATAJIRI NA MASIKINI.

http://3.bp.blogspot.com/_0PA_oM-
KAZ0/R3H7UiClcRI/AAAAAAAAA4g/PSWYVQqwE6E/s400/DSC03589.JPG

image007.jpg
image007.jpg

Kwa mtogole,buguruni kwa mnyamani,ali maua, manzese kwa mfiga mbwa,bonde la msimbazi na bonde la mpunga.Lazima utapapenda tu.
 
Back
Top Bottom