Magoya2000
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 641
- 1,267
Habari ya jioni.
Namshukuru Mungu Kwa kunipa ujasiri na uvumilivu Kwa kipindi chote Cha maisha yangu.
Nilifanya maamuzi ya kuoa since 2005 na kubahatika kupata watoto wa kiume wawili. Mnamo 2018 nilitengana na mke wangu baada ya kugundua ana mahusiano na mwanaume mwingine.
Nikaondoka na kwenda kuishi kwenye Moja ya apartment tuliyojenga pamoja ndani ya ndoa. Mke wangu alikuwa anatembea na Askari Police hivyo akatumia nafasi hiyo kutuma jeshi ya police kuja kuniondoa kwenye nyumba yetu. Baadae Kitengo Cha dawati la jinsia la jeshi la polisi likaniambia nisubmit funguo za nyumba na kuniambia kama sijaridhika niende Mahakamani. Kwangu Mimi kama mwanaume kwenda Mahakamani kuonesha udhaifu ilikuwa ngumu sana nikapanga nifanye revenge ya kutikisa nchi. Lakini namshukuru my mom akanishauri nicome down .
Baadae nikaona njia Halali ya Mimi kudai Haki yangu pasipo kwenda Mahakamani ni kumtishia muhusika dhidi ya dhuruma aliyonifanyia. Namshukuru Mungu Yeye akaenda Dawati na kudai namtishia maisha wakamshauri aende Mahakamani. Kesi ikaunguruma Mahakamani kuanzia primary court mpk high court.......
Nitaendelea baadae.
Hasira hasara Bora uvumilie tu Mungu yupo....