Moja ya sababu wanaume wanafanya ukatili dhidi ya wanawake

ni hatari [emoji16] je kuna namna yoyote ya kufanya ili kuyaepuka haya?!
We endelea tu kuwa na nia nzuri na roho safi ili usiumize wengine na utambue hatari na kuiepuka ili usiumie basi mengine unamuachia Maulana
 
ukidhulumiwa mke, bado ukapewa kichapo, utamwachia maulana ?
 
Hofu yako nini si mshazaa watoto. Hatuondoki na mali. Wenzio yakiwashinda uondoka na bag uacha KILA kitu wanaaanza upya na mambo yanasonga.
 
Usiende jela kwa mapenzi mwanaume ingia jela kwa utafutaji
 
Lengo kuu la hizi tamthilia ni kubomoa ndoa, walengwa wa kuu wa hizi tamthilia ni wanawake wao upaste kwenye ndoa zao wayaonayo.
 
ukidhulumiwa mke, bado ukapewa kichapo, utamwachia maulana ?
Mara nyingi watu wanaopigwa matukio wanakataa kuwa kuna nafasi walicheza kupelekea mambo yaende yalivyoenda, ni rahisi kutoa lawama kuliko kuwajibika na kukubali makosa.
Unadhulumiwaje mke? Kama mtu hakuthamini licha ya nguvu zako kwake kwann huoni shida ni ww unayepanda kwenye mchanga badala ya udongo wenye rutuba? Kwann huoni kuwa yy ndo loser anayechezea cha thamani na sio ww? Kwann uendelee kuweka nguvu ambapo hapalipi? Kwann ujiingize matatizoni kwa sababu ya mtu asiyejali? Kwani ulizaliwa uteseke kwaajili ya mtu asiyejali? Tuendelee kuomba hekima
 
Mkuu nimesubscribe huu uzi nijifunze kupitia hiyo vita ya wewe na mke ikichochewa na huyo police officer
Mkuu namshukuru Mungu sana Hila maisha Yana Mapito sana. Wanaume wengi wapo kimya na masahibu Yao ndo maana matukio makubwa yanatokea lakini hutakiwi kulaumi maana wengine walikosa washauri.
 
Inaendelea... District court ikafuta hukumu ikatoa order kesi isikilizwe na Hakimu mwingine ambaye anajua Sheria. Kesi ikarudishwa Primary Court, Primary court wanasema kesi irudi District court maana Mdai Hana muda wa kuhushuria court hivyo iende huko Ili maadvocate ndo wanasimame. Kesi ikarudishwa District court baada ya kuanza kusikilizwa ikaonekana hamna ward board reconciliation letter hivyo nikaweka ikaletwa ward board reconciliation ya mchongo yaani haina Saini wala Nini. Hii inchi tutafika Mbinguni tumechoka.......
 
Achana na mambo ya kufika mbinguni tumechoka,wewe lete mtiririko wa hizi tamthilia za duniani tunayo fanyiani wanaadam
 
Inaendelea... District court ikafuta hukumu ikatoa order kesi isikilizwe na Hakimu mwingine ambaye anajua Sheria. Kesi ikarudishwa Primary Court, Primary court wanasema kesi irudi District court maana Mdai Hana muda wa kuhushuria court hivyo iende huko Ili maadvocate ndo wanasimame. Kesi ikarudishwa District court baada ya kuanza kusikilizwa ikaonekana hamna ward board reconciliation letter hivyo nikaweka ikaletwa ward board reconciliation ya mchongo yaani haina Saini wala Nini. Hii inchi tutafika Mbinguni tumechoka.......
kaka relax utoe funzo kwa urefu na katika hali ya utulivu.

na sisi tupo humuhumu kwa utulivu, tumekaa paleee tunakusubiri
 
Kwa kweli arelax kwanzaaa..halafu atuletee full story nasi tujifunze jambooo
 
Uki maliza kuandika nakaa pale [emoji1542][emoji1542][emoji905][emoji905] utaniita
 
Back
Top Bottom