Taarifa mnazotangaza ni mbaya tu. Mbona hamsemi mazuri?
Mazuri yaseme wewe.
Yanaonekana mbona. Hakuna haja ya kuyasema.!Mazuri yaseme wewe.
Nani amekosoa.hata gari lako huwa unalifanyia service mtoa mada kama huna gari hata baiskeli lazima ifanyiwe service nacho kiona yani nyie kila kitu ni kukosoa vingine muwe mnaacha vipite jamani khaaa
Bei za ndege na hizo meli mbona hata online unaziona. Alipokupiga wapi??Jiwe katuingiza Mkenge Sana na Madili yake......Alitupiga Zaidi ya 6B kwenye MV DALISAMA,Meli Bovu hata Bil 2 halifiki yeye kala dili tumeuziwa kwa 8B.
Na hiyo Midege mibovu nayo Katupiga cha JUU.
Hakuna mtu aliyesema siyo kawaida ndege kutengenezwa.Hiyo kawaida tu kama ambavyo ndege ya Kenya Airways ilipokuwa imeegeshwa nchi ikifanyiwa ukarabati baada ya kugonga kitu.
Hicho ni chombo cha moto kinatumika lazima kinapata itilafu, na kinachakaa. Hivyo lazima kifanyiwe ukarabati.
Yaani kuna watu kazi yao ni kukosoa na kulalamika tu.hata gari lako huwa unalifanyia service mtoa mada kama huna gari hata baiskeli lazima ifanyiwe service nacho kiona yani nyie kila kitu ni kukosoa vingine muwe mnaacha vipite jamani khaaa
Ndege ina muda maalumu na sehemu maalumu ya kufanyiwa service siyo kila siku iko chini ya mwembe kama DCM la Mbagala.hata gari lako huwa unalifanyia service mtoa mada kama huna gari hata baiskeli lazima ifanyiwe service nacho kiona yani nyie kila kitu ni kukosoa vingine muwe mnaacha vipite jamani khaaa
Acha kupotosha. Yaani Engines tu za hiyo Meli ni zaidi ya 2Bilion.Jiwe katuingiza Mkenge Sana na Madili yake......Alitupiga Zaidi ya 6B kwenye MV DALISAMA,Meli Bovu hata Bil 2 halifiki yeye kala dili tumeuziwa kwa 8B.
Na hiyo Midege mibovu nayo Katupiga cha JUU.
Taarifa mnazotangaza ni mbaya tu. Mbona hamsemi mazuri?
Umejuaje kama muda maalumu unaousema haujafika?. Na je kama ilipata hitilafu kiasi kwamba haiwezi kuruka kwenda garage ulitaka wafanyaje?. Wiki iliyopita tumeshuhudia ndege ya urusi ikipata hitalafu angani na kutua porini.Ndege ina muda maalumu na sehemu maalumu ya kufanyiwa service siyo kila siku iko chini ya mwembe kama DCM la Mbagala.