Moja ya ndege za ATCL Bombardia iko Zanzibar wiki ya pili sasa inatengenezwa

Mleta Uzi ameileta kama habari. Hajaileta kama swali!
Pengine hujui kanuni za sentensi kuonekana ni swali na sentesi kuwa hoja.

Ww una complicate ishu coz akili yako inakutuma kila mtu ambae Anaongea positive basi yuko tofauti na serikali, yy ni Mtanzania na ameuliza au ameongea kitu kuhusu property ya Tanzania
 
Bakhresa kanunua Latest Luxury Meli yenye Speed Kubwa na Nzuri kuliko aliyonunua Magu ambayo ni ya kizamani na Speed yake mwendo wa kobe lakini SSB alinunua kwa 4B only sasa hilo Kuu kuu Bovu la kizamani mwendo wa kobe ndio 8B?
Tuwekee Detailed specifications ya zote mbili tufanye comparison kuangalia value for money.
 
Meli alilonunua lilipiga safari mara moja tu DAR-Bagamoyo lilivyorudi PANCHA likakaa juu ya Maji na sasa lipo Navy kama Scraper au Toy la kujifunzia au Maonyesho kwa Recruit.

Kaka ni hatari kusemea kitu ambacho kipo ndani ya jeshi so kuwa makini hahaha
 
Hizi ndege kuna kauli ambayo Zitto aliwahi kutoa kuhusu hizi ndege
 
Mbona ni jambo la kawaida??? Hata Emirate nao huwa wanafanya service ndege zao, wabongo bhana....
DU4MCUADWJEGBBR7I5T6JNSVPQ.jpg

Angalia hapo kwenye picha yako na ile picha ya ATCL kwa akili yako tu ya mazingira ipi ni mbovu ipi ni servic?
 
Meli alilonunua lilipiga safari mara moja tu DAR-Bagamoyo lilivyorudi PANCHA likakaa juu ya Maji na sasa lipo Navy kama Scraper au Toy la kujifunzia au Maonyesho kwa Recruit.
Haha.. Hakuna kitu kinaniacha hoi kama wewe kutokujua kwamba Rais anashauriwa anunue nini na akinunulie wapi. Haamki na kwenda kama anaenda super market kuhemea.
Hio nayo inahitaji kuelezewa?
 
Ww una complicate ishu coz akili yako inakutuma kila mtu ambae Anaongea positive basi yuko tofauti na serikali, yy ni Mtanzania na ameuliza au ameongea kitu kuhusu property ya Tanzania
Unasema kweli kabisa. Je tatizo la ndege kuharibika au kupata hitilafu nani anajua litatokea saa ngapi??

Maisha yako yote hujawahi kununua kitu na kikapata shida right away.??

Kama ni 100℅ perfect kwa sababu umenunulia bei kubwa ni kwanini kampuni zinaweka warranty??
 
ACHENI MAMBO ZENU. NDEGE NAZO HUWA NA HITILAFU NDOGONDOGO NA KWA AJILI YA USALAMA SIO KAMA GARI INABIDI ISIMAMISHWE NA TATIZO KUREKEBISHWA. UJUE HIZO NDEGE NI TOFAUTI NA BOEING. MAFUNDI WA BOEING WAKO KWA VILE TULIKUWA NAZO MUDA MREFU. SUBIRI TU TUTAKUWA NA MAFUNDI WELEDI WA HIZO NDEGE NA HAZITAKUWA ZINASIMAMAMA MARA KWA MARA. SIKO ATCL WALA SIO MTAALAMU WA NDEGE ILA NASHANGAA WEWE HUONI HILI UNALALAMA TU. KWA FAIDA YA NANI.
 
Back
Top Bottom