Moja ya ndege za ATCL Bombardia iko Zanzibar wiki ya pili sasa inatengenezwa

Umejuaje kama muda maalumu unaousema haujafika?. Na je kama ilipata hitilafu kiasi kwamba haiwezi kuruka kwenda garage ulitaka wafanyaje?. Wiki iliyopita tumeshuhudia ndege ya urusi ikipata hitalafu angani na kutua porini.
So nao wamenunua ndege mbovu!!?.
Kama muda umefika pale kuna karakana ya ndege, halafu ni juzi tu tuliambiwa kuna 13b zilitengwa kwa ajili ya service Canada zilishapelekwa,

Kuhusu ndege ya urusi umefuatilia kabla ya ajali ilishatembea masaa mangapi angani.
 
Umejuaje kama muda maalumu unaousema haujafika?. Na je kama ilipata hitilafu kiasi kwamba haiwezi kuruka kwenda garage ulitaka wafanyaje?. Wiki iliyopita tumeshuhudia ndege ya urusi ikipata hitalafu angani na kutua porini.
So nao wamenunua ndege mbovu!!?.
Nani hajui kuwa ndege za warusi ni bomu linalotembea angani. Nchi zote zilizonunua madege yao zimeshuhudia majanga kila siku mfano DRC.
 
Acha kupotosha. Yaani Engines tu za hiyo Meli ni zaidi ya 2Bilion.
Bakhresa kanunua Latest Luxury Meli yenye Speed Kubwa na Nzuri kuliko aliyonunua Magu ambayo ni ya kizamani na Speed yake mwendo wa kobe lakini SSB alinunua kwa 4B only sasa hilo Kuu kuu Bovu la kizamani mwendo wa kobe ndio 8B?
 
Price Tag Online hazina issue,sie tunaangalia thamani halisi,kwa mfano SSB walinunua meli Nzuri ya Kisasa Kilimanjaro 4 Luxury yenye speed kubwa na latest kwa 4B lakini Jiwe alinunua meli kuu la zamani bovu mwendo wa kobe kwa 8B.
Old is gold. Pole pole ndiyo mwendo.! Na kwa kuwa toleo ni la zamani haina maana ni mbovu.

Usibabaishwe na muonekano wa nje.. Ununuzi wa vyombo vya moto vitu vya kuzingatia ni vingi - Sio mwaka wa toleo tu!
 
Mbona ni jambo la kawaida??? Hata Emirate nao huwa wanafanya service ndege zao, wabongo bhana....
DU4MCUADWJEGBBR7I5T6JNSVPQ.jpg
 
hata gari lako huwa unalifanyia service mtoa mada kama huna gari hata baiskeli lazima ifanyiwe service nacho kiona yani nyie kila kitu ni kukosoa vingine muwe mnaacha vipite jamani khaaa
Hawa wapuuzi niwakupuuzwa tu
Mijitu Kila jambo kuligeuza ili lionekane baya
Kuharibika kwa kitu tatizo lipo wapi!
Ila kwa kuwa ni vibendera na Vilaza watashoboka humu
 
Old is gold. Pole pole ndiyo mwendo.! Na kwa kuwa toleo ni la zamani haina maana ni mbovu.

Usibabaishwe na muonekano wa nje.. Ununuzi wa vyombo vya moto vitu vya kuzingatia ni vingi - Sio mwaka wa toleo tu!
Meli alilonunua lilipiga safari mara moja tu DAR-Bagamoyo lilivyorudi PANCHA likakaa juu ya Maji na sasa lipo Navy kama Scraper au Toy la kujifunzia au Maonyesho kwa Recruit.
 
hata gari lako huwa unalifanyia service mtoa mada kama huna gari hata baiskeli lazima ifanyiwe service nacho kiona yani nyie kila kitu ni kukosoa vingine muwe mnaacha vipite jamani khaaa
Kumekuwa na malalamiko ya wasafiri kucheleweshwa safari zao na ATCL, Juzi Prof. Mwandosya alilalamika amecheleweshwa safari yake ya Entebe.

Pia kuna wasafiri kutoka Songwe walicheleweshwa takribani masaa 6 hadi wakaja kifaulishwa na Precious.

Kwa mwendo huo unataka watu wasijue tatizo lililopo na ATCL? Hujui kwamba kubaini kwao tatizo itakuwa rahisi wao kutumia mashirika mengine wakitaka kusafiri?.

ATCL ni mali ya umma, kwa nini msitake umma ujue kinachoendelea kwenye shirika lao?
 
Back
Top Bottom