Usichanganye harusi na misiba, harusi imekuwa ni kero sana kwa baadhi ya watu. Unafika nyumbani unakuta kadi, yaani hata mtu huna mawasiliano naye yoyote yale. Baada ya hapo inakuwa ni kero kubwa, unakuwa kama anakudai, na hata hukuwahi kutoa ahadi ya kuchangia, kiufupi inakera sana.Issue watu wa aina hiyo ni wabinafsi huwezi waona hata kwenye kuchangia harusi au misiba ya wengine.
Hivyo hujua wazi wakiwa na harusi zao hakuna watakaowachangia.Hivyo kujificha kwenye hilo chaka la harusii za watu wachache sijui.sita nk wanajua network kwenye za kuchangiana harusi wao hawamo hivyo wanakuwa hawana network kwenye eneo hilo.Waweza kuwa na network kwenye maeneo mengine lakini sio hilo
Fumba macho fanya yakoI wish kufanya simple kama hivo ila je itakuaje maana ndugu tu ni zaidi ya 100😃
Aisee hivi uliwezaje wewe? Ulifanyia hapa hapa bongo ama ni mbele huko🤪Fumba macho fanya yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umaskini wangu unakutesaje? Punguza shobo
Hapahapa tz, nina maamuzi magumu sana kwenye vitu kama hizo.....ilizua zogo sana ila ndo sijali,,, wanafiq tu,Aisee hivi uliwezaje wewe? Ulifanyia hapa hapa bongo ama ni mbele huko🤪
Niliyoshuhudia ni ya mwamba ambapo kulikuwa naMoja ya harusi bora kabisa hiiView attachment 2949950
Watu wa hivi huwa hawataki mambo mengi kabisa, mara nyingi huwa sisi wanaume ndio tuna aamua iwe hivi.
View attachment 2949951View attachment 2949952
Nyingine ile mkimaliza kufunga ndoa shughuli zina endelea kama siku zingine tu za kawaida pale nyumbani.
Safi sana, wabongo tuko tayari kuchangia harusi ila matibabu hapana😃 but vipi upande wa shemeji pia alikubaliana na hilo?Hapahapa tz, nina maamuzi magumu sana kwenye vitu kama hizo.....ilizua zogo sana ila ndo sijali,,, wanafiq tu,
Wananiogopa vibaya mno jinsi nilivyo kauzu
Hapo ndo utajua watz wanapenda vitu visivyo vya msingi yani,
Safi sana, wabongo tuko tayari kuchangia harusi ila matibabu hapana😃 but vipi upande wa shemeji pia alikubaliana na hilo?
Ndugu wa nini ?, marafiki wa nini ? Na majirani wa nini ?Huwa wengine wana matatizo yao
Mfano Magufuli aliwahi tamba waziwazi kuwa alifunga ndoa na Janet Magufuli akiwa anasoma chuo.kikuu na ndoa ilifungiwa pale kanisa la chuo kikuu ndoa hiyo ilishirikisha watu watano yeye na bi Janet Magufuli na wasimamizi wao wawili na Padre aiyefungisha ndoa
Baada ya kufungishwa ndoa walikunywa soda moja moja wote watano .Baada ya kunywa soda Magufuli akaendelea na masomo yake shughuli ya ndoa ikaishia hapo.
Hapo ukiangalia unaona kuna shida ndoa kama hiyo.Ndugu wa pande zote wapo ,marafiki wapi,majirani wapo nk why iwe hivyo?
Sio lazima nduguI wish kufanya simple kama hivo ila je itakuaje maana ndugu tu ni zaidi ya 100😃
Itoshe kusema huna akili nahuna exposure masikini ndio mnajaza watu kwenye maharusi namisiba hayo mambo huwez kuyakuta kwakina Beckham na ellon maskSio kweli ni ya watu wapumbavu wabinafsi na wasiokuwa watu wa watu iwe majirani ,ndugu,marafiki,wanaofanya nao kazi au biashara nk
Ndoa kama hixo ni watu ambao hata ndugu hawataki wanajioza wenyewe.Wakati kawaida jamii ndio inatakiwa ikuoze .Watu wanaofurika ndio waozaji ukiona wachache jua hao sio wati wa watu kaa nao mbali ni watu wa maisha self-contained hao.
Mshamba tu huyo aache upumbavu wake!Itoshe kusema huna akili nahuna exposure masikini ndio mnajaza watu kwenye maharusi namisiba hayo mambo huwez kuyakuta kwakina Beckham na ellon mask
Si lazima yes ila lawama sasa, inabidi kuwa na roho ngumu kiasiSio lazima ndugu
Sio lazima kujali wao wanasema nini, hauishi kufurahisha watuSi lazima yes ila lawama sasa, inabidi kuwa na roho ngumu kiasi
Si lazima yes ila lawama sasa, inabidi kuwa na roho ngumu kiasi
Ndoa za hivi ni nzuri sanaShadow7 ,Tresor Mandala ,Fake P ... Winnone ... Vincenzo Jr mje mshuhudie ufungaji ndoa usio na mbwembwe
Year...so goodNdoa za hivi ni nzuri sana
Hao ndiyo wanaoifanya sherehe yako iwe!.... wengine hata hujui wametokea wapi
Ndoa ni yako maamuzi ni yakoI wish kufanya simple kama hivo ila je itakuaje maana ndugu tu ni zaidi ya 100😃