kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Katika Maisha yangu kitu ambacho ninaamini ni kuwa ukibomoa usitegemee mimi kujenga na mimi nitamalizia ili tubomoe wote.
Kuniita mgeni katika nchi yangu na kunitukana kila kukicha ni maneno ambayo yamekuwa kama chakula kwangu.
Wananibagua saana huku serekali wakitazama na baadhi yao kuna ambao wanasapoti ujinga huo kwa kudhani ndo njia rahisi ya kulinda madaraka yao bila kujua athari ya mambo haya leo na mimi ninaweza kutangaza uhuru wa Katanga na kuwambia wakatange waombe uhuru wao kutoka kwenye Serikali ya Kongo na wajitenge na Kongo kwa muda wowote Katanga inaweza kuwa nchi ndani ya DRC.
Ikiwa wataendelea kunitukana na kunichafulia jina sitakubali na wala sitanyamaza kutetea haki yangu na haki ya wale wanaobaguliwa kama mimi ndani ya nchi yao halisi.
Nitakachokifanya kitashangaza Kongo na Afrika kwa ujumla.
Maneno kutoka kwa Moise Katumbi.