Serekali hii ya DR Congo ni chuki kwa Moise Katumbi

Serekali hii ya DR Congo ni chuki kwa Moise Katumbi

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Siasa za chuki siku zote sio nzuri
Na tujue kutofautisha kati ya uzalendo na uzamwamwa
Moise Katumbi alipokea timu ya Taifa ya Congo ndani ya uwanja wa Mazembe na kuwapa matunzo yote
Baada ya timu ya Taifa kushinda serekali walitoa dollars elfu tano ( 5000) kwa kila mchezaji

Moise katumbi akatoa dollar elfu kumi ( 10,000) kwa kila mchezaji.

Nayo imekuwa nongwa kwa Serekali.

Moise Katumbi ametoa ndege yake wasafirie hizo chuki za kutangazia wakongo kuwa Moise Katumbi ni mwizi wa mali zetu mmezitoa wapi.

Miaka 9 hii Moise Katumbi hana Posta yayote katika Serekali ya Kongo au ya mkoa.

Si waseme ni aibu tu watu waelewe kuwa wameshindwa na mtu binafsi wao ndo wana madaraka lakini bado nongwa kwa mtu binafsi

Wamenunua timu za mpira Gavana Kyabula ni mmiliki wa Lupopo

Chama cha UDPS wao ni wamiliki wa AS Vita club

Mbona hawajafanya hata nusu ya kile Katumbi alifanya kwa Mazembe

Si wakubali maendeleo ni akili sio ubabe
 
Siasa za chuki siku zote sio nzuri
Na tujue kutofautisha kati ya uzalendo na uzamwamwa...
Huwa anafanya kila mra au amefanya wakati huu kuelekea uchaguzi?

Hizi ni siasa tu wala sio mapenzi ya timu.

Ikiwa anafanya kila mwaka basi sawa vinginevyo ni porojo
 
Wakongoman hawanaga akili Huo ndio ukweli wa mwisho niliofikia
 
Huwa anafanya kila mra au amefanya wakati huu kuelekea uchaguzi?
Hizi ni siasa tu wala sio mapenzi ya timu.

Ikiwa anafanya kila mwaka basi sawa vinginevyo ni porojo
Ndo tabia yake hiyo ndugu yangu
Amejenga hospital za upasuaji mwaka 2019 wakadai kuwa yeye ndo ujumu nchi

Pia moïse katumbi ndo alikuwa anaibeba leopard kipindi yupo gavana wa Katanga
Je toka moïse katumbi apotezee mambo haya mpaka sasa mpira Kongo umeshuka thamani
 
Mose katumbi asili yake ni wapi?

Kuna wengine wanasema mzazi wake moja ni muzungu mwingne ana asili ya zambia je ni kweli?
 
Mose katumbi asili yake ni wapi?

Kuna wengine wanasema mzazi wake moja ni muzungu mwingne ana asili ya zambia je ni kweli?
Ni uongo baba yake ni myahudi na mama yake ni mkongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom