Muongo manesi hawajagoma
serikali ipo kazini kutafuta hela ya kulipa mishahara ya January - suala la madaktari na posho zao ni pending kwa sasa. Kuhusu wagonjwa wananchi muwe na subra tunatafuta suluhisho la kudumu.
Yule bonge wa Clouds muongo kumbe
serikali ipo kazini kutafuta hela ya kulipa mishahara ya January - suala la madaktari na posho zao ni pending kwa sasa. Kuhusu wagonjwa wananchi muwe na subra tunatafuta suluhisho la kudumu.
kama nilivyosema, mwenye uwezo wa kupeleka mgonjwa wake india anaweza kufanya hivyo - kwa asiyeweza basi asubiri wakati tunaandaa mchakato wa kuandaa mazungumzo na hawa madaktari. Poleni wananchi lakini tuvumiliane suala hili kama nilivyosema mwazo tumeshaliingiza kwenye mchakato.In red, na magonjwa yawe na subira au wapelekeni India wakatibiwe
Muongo manesi hawajagoma
Muongo manesi hawajagoma
Fanya kazi yako ya kusafisha wagonjwa waliojinyea hapo muhimbili na sio kuingilia kazi za watu wengine..unesi ujafikia kwanini kudandia hoja za watu?
Mchakato I like the word!! linatumiwa na mafisadi na wasio serious!!kama nilivyosema, mwenye uwezo wa kupeleka mgonjwa wake india anaweza kufanya hivyo - kwa asiyeweza basi asubiri wakati tunaandaa mchakato wa kuandaa mazungumzo na hawa madaktari. Poleni wananchi lakini tuvumiliane suala hili kama nilivyosema mwazo tumeshaliingiza kwenye mchakato.
Hivi zinakutosha kweli? Tafadhari usitaftie watu ban kwasababu ya ulimbukeni wako wa kuparamia Jf!!Muongo manesi hawajagoma
Muongo manesi hawajagoma