Mohammed Said: Waislam hawakuchoma makanisa. waliochoma ni wahuni

Mkuu lengo lako hasa ni kupotosha? Anza na mtiririko huu ndipo utamwelewa Paulo alivyoandika..

1 Basi Myahudi ana ziada
gani? Na kutahiriwa kwafaa
nini?
2 Kwafaa sana kwa kila njia.
Kwanza kwa kuwa
wamekabidhiwa mausia ya
Mungu.
3 Ni nini, basi, ikiwa baadhi
yao hawakuamini? Je!
Kutokuamini kwao kutaubatili
uaminifu wa Mungu?
4 Hasha! Mungu aonekane
kuwa amini na kila mtu
mwongo; kama ilivyoandikwa,
Ili ujulike kuwa una haki katika
maneno yako, Ukashinde
uingiapo katika hukumu.
5 Lakini, ikiwa udhalimu wetu
waithibitisha haki ya Mungu,
tuseme nini? Je! Mungu ni
dhalimu aletaye ghadhabu?
(Nasema kwa jinsi ya
kibinadamu.)
6 Hasha! Kwa maana hapo
Mungu atawezaje kuuhukumu
ulimwengu?
7 Lakini, ikiwa kweli ya Mungu
imezidi kudhihirisha utukufu
wake kwa sababu ya uongo
wangu, mbona mimi ningali
nahukumiwa kuwa ni mwenye
dhambi?
8 Kwa nini tusiseme (kama
tulivyosingiziwa, na kama
wengine wanavyokaza kusema
ya kwamba twasema hivyo),
Na tufanye mabaya, ili yaje
mema? Ambao kuhukumiwa
kwao kuna haki.

Nilisema....... Watu wanaiona aya lakini wanajifanya hamnazo. Hivi wewe huoni kuwa kumbe utukufu wa Mungu umejidhihirisha kwa uongo wa mtu? Yaani mtu anaongopa kuhusu Mungu!!!!
 
dhambi ya kuchoma makanisa itawafuata na kuwatesa siku zote,hakuna haja ya kupaka asali uhalifu wakati uhalisia unaonekakana kwa hiyo wahuni wanavaa kanzu ?
 
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa
Nimeisikiliza hiyo redio dutchvvele mpaka mwisho.Wameanza na habari ya vifo vya watu 150 siku Idi huko Syria.Habari hizo wamezipata kutoka kikundi cha haki za binaadamu cha Syria.Siku zote taarifa zao zinaanzia kwenye kikundi hicho cha kigaidi kinachowaadhibu wananchi wa Syria.Hizi redio za kimataifa za kiswahili ndio maana zimeishiwa kwa vile hatuziamini tena.Tunapoelekeza masikio yetu redio imani mnakereketwa bure.
Katika mahojiano mtangazaji Sekioni Kitojo amempa nafasi ndogo Mohammed Said na alikuwa akimuhoji huku anatetemeka.Huyu Enzi Talib alikuwa anazungumzia waislamu kukosa elimu.Angepata nafasi ya kujibu Mohammed Said basi angefunga mdomo wake kutetea ujinga.
Mzungumzaji mkuu alikuwa ni Salim Said.Huyu anachanganya sana kwani katika kujibu anataka amridhishe kila mtu,hata ukweli anaoufahamu analazimisha uendane na uongo wa vyombo vya serikali.Huyu ni uzee na woga unamsumbua pamoja na kwamba ni mjuzi wa siri za serikali.Kwa kumsikiliza hapa hupati kujua nani ni mkosa katika mkasa wa kutekwa sheikh Farid na matukio yaliyofuatia.
 
dhambi ya kuchoma makanisa itawafuata na kuwatesa siku zote,hakuna haja ya kupaka asali uhalifu wakati uhalisia unaonekakana kwa hiyo wahuni wanavaa kanzu ?

Na dhambi ya kuchoma au kuchana Qurani nayo itawatafuna!!!!
 
Kwani uongo? Hukumsikia Bush enzi za utawala wake akisema "Adui wa Marekani ni Uislamu?"

Hapana. Hukusikiliza vizuri. Mimi si mfuasi wa George Bush, lakini hajawahi kusema hata siku moja kuwa adui wa Marekani ni Uislamu. Kajipange upya.
 
NImesikia jana 96.3 Deutsche Welle

Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa
 
Kama kweli waliochoma makanisa dar ni wahuni basi na uislamu ni uhuni
 
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na Mohammed Said juu ya observation hii.

Waliochoma makanisa, pamoja na Ponda mwenyewe ni wahuni tu wa mitaani.
 
That old man's words are poisonous for the young generation as well as for the well being of the nation, I have never

ever meet a nonsense old man like Mohamed said.

Haya matusi mohamedi saidi, ni mtu muungwana, mwalimu wetu, baba yetu, babu yetu matusi ya nini, unashindwa kumheshimu hata mtu mzima ni adabu gani hii uliyofunzwa, kutoelewana kihoja kusiondoe heshima, hata babako unaweza kumtukana nayeye akawa nonsense kama wewe

weka hoja sio mitusi wote tunaijua mitusi hapa si pahala pake peleka mbagala
 
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na Mohammed Said juu ya observation hii.

Waliochoma makanisa, pamoja na Ponda mwenyewe ni wahuni tu wa mitaani.

duh kaka memory yako naona ina ovewrite, kesi ya kanisa kuchomwa kitu kingine kesi ya ponda kitu kingine, hamasa mpaka unashindwa kujua nini ni nini? we need to be serious na sio kua na ushabiki, this is life issues we need to discuss seriously

Ponda hakuchoma makanisa wala hahusiki ila kwa mnavyotaka basi naye muongezeni

Nuru ya uslam haizimiki ni wastage of resource, marekani kashindwa afghan saahizi wanasema taleban wanaruhusiwa kugombea, mashariki ya kati kashindwa anapoteza maisha ya watu na mali zao kwa kuzima nuru ambayo haitazimika
 
Haya matusi mohamedi saidi, ni mtu muungwana, mwalimu wetu, baba yetu, babu yetu matusi ya nini, unashindwa kumheshimu hata mtu mzima ni adabu gani hii uliyofunzwa, kutoelewana kihoja kusiondoe heshima, hata babako unaweza kumtukana nayeye akawa nonsense kama wewe

weka hoja sio mitusi wote tunaijua mitusi hapa si pahala pake peleka mbagala

Heshima hupewa

-Mwenye adabu na anayemuheshimu mungu kumuogopa na kumnyeynyekea sio mohamed said

-Mwenye hekima na busara na anayeheheshimu uwepo wa imani za watu wangine Sio Mohamed said

-Asiye mnafikiki na muongo sio mohamed said

Mtu kama mohamedi said hasa sifa hata moja katika hizo hapo juu, sio kawaida yangu kumpaka mafuta mtu yeyote mwenye tabia na huruka kama za Mohamed Said kwa mgongo wa chupa. Mohamed said ni Mchochezi na mbaguzi mkubwa na huyu ndiye anafanya watu wakachome makanisa na kufanya watu Tuishi kwa chuki mitaani kwa sababu ya upotoshaji wake.

Kama ni baba yako kamfunze kwanza kuacha uchochezi, kuacha uongo, kuacha kupotosha nk, mfanyene kufuata mafundisho ya dini yake kama anavohubiri kwamba ISLAM IS PEACE lakini anachokifanaya ni kinyume chake, ukishindwa kumshawishi mpe adabu wewe unayefaidika naye kwa matendo yake sisi wengine huyo ni kama kirusi anayepeperusha amani miongoni mwa watanzani wa imani zote.

Hatuhitahita kulea wazee wanaoigawa tanzania kwa hila na uzushi.
 
duh kaka memory yako naona ina ovewrite, kesi ya kanisa kuchomwa kitu kingine kesi ya ponda kitu kingine, hamasa mpaka unashindwa kujua nini ni nini? We need to be serious na sio kua na ushabiki, this is life issues we need to discuss seriously

ponda hakuchoma makanisa wala hahusiki ila kwa mnavyotaka basi naye muongezeni

nuru ya uslam haizimiki ni wastage of resource, marekani kashindwa afghan saahizi wanasema taleban wanaruhusiwa kugombea, mashariki ya kati kashindwa anapoteza maisha ya watu na mali zao kwa kuzima nuru ambayo haitazimika

ha! Kumbe ni nuru!!!!
 
Akiwa kwenye mdahalo na Sekioni Kitojo Mohamed Said amesema kuwa waislamu hawakuchoma makanisa waliochoma n wahuni waliotumia mgongo wa uislam.
"kwanza si waislam waliochoma kanisa, mwislam hawezi kuchoma kanisa kama kanisa limechomwa watakuwa ni wahuni wa mitaani wamechukua upenyo ule kufanya uhalifu wao' alisema
kumsikiliza bonyeza hapa
Kama waliochoma na kubomoa makanisa ni wahuni, Je na hao wanaotaka kuandamana nchi nzima kwa ajili ya Ponda na yule wa Zanzibar, nao ni wahuni ?
 
Kwani uongo? Hukumsikia Bush enzi za utawala wake akisema "Adui wa Marekani ni Uislamu?"

Hata kama alisema hayo, je yanahusiana vipi na ukristu? Si mngeenda kushambulia mali za serikali ya Marekani basi?
 
Qur'an imekojolewa na muislam huko Zenj na kumvisha Mbwa tasbihi. Mbona hao wahuni hawachomi moto misikiti?
 
Wahuni walikuepo tekea enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hakuna kanisa lililochomwa wala mkiti. lakini wahuni wa enzi za utawala wa kiislam yaani Kikwete, Bilali, Shein, Sef Sharif na Balozi seif Hatib ndio wananguvu ya kuchoma makanisa? msiwe wanafki majomba mumelikoroga sasa mtalinywa tu.
 
Back
Top Bottom