Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,230
- 10,201
Kwenye wabunge wote umemwona Mohammed dewji tu?
Kama kuna kitu unataka akufanyie sema tu ili
nikupe kontakti zake.
Kwa hiyo wewe mwenye kontakt zake kuna kitu amekwisha kukufanyia ?
Kwenye wabunge wote umemwona Mohammed dewji tu?
Kama kuna kitu unataka akufanyie sema tu ili
nikupe kontakti zake.
Kwa hiyo wewe mwenye kontakt zake kuna kitu amekwisha kukufanyia ?
Ni mwenzangu,
na ndugu yangu.
Hee...Majanger
Si Gabachori huyu!!!!!!
Kwenye wabunge wote umemwona Mohammed dewji tu?
Kama kuna kitu unataka akufanyie sema tu ili
nikupe kontakti zake.
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria,
kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu?
Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata.
ifike mahali watanzania wajue hili
Kwenye wabunge wote umemwona Mohammed dewji tu?
Kama kuna kitu unataka akufanyie sema tu ili
nikupe kontakti zake.
kuna post moja kutoka Kawe ilisema kazi ya mbuge ni pamoja na roby miladi ya maendeleo na kuipeleka eneo lako huyu jamaa kwa kutumia mipesa yake anaweza sana kuroby maendeleo ya sehemu zingine na kuhamishia Singida na wanasingida wakafurahi mpaka gego la mwisho wakiamini mbunge wao kafanya yote hayo kwa pesa zake kumbe ni kodi zetu!!!!!Nani anawawakilisha wananchi wake katika chombo cha kutunga sheria, kuishauri serikali na kuihoji?
Anatakiwa awawakilishe wananchi waliomchagua bungeni na si vinginevyo.sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia
Khee Mamndenyi..... hvi kama wasiohudhuria ni wengi basi ndo sawa..???Kwenye wabunge wote umemwona Mohammed dewji tu?
Kama kuna kitu unataka akufanyie sema tu ili
nikupe kontakti zake.
Kwa hiyo wewe mwenye kontakt zake kuna kitu amekwisha kukufanyia ?
..Watoto wa chadema acheni wivu wa kijinga