Mohammed Dewji kwanini haendi bungeni?

Mohammed Dewji kwanini haendi bungeni?

Huyo Mnyika asie kosa vikao vyote, Ubungo Maji yanauzwa 500 kwa dumu la 20 Lts tena yakisima chumvi tupu
 
Kwa yanayoendela sasa huko ndani hata mimi ninsingeenda!!!!!
 
Huyo Mnyika asie kosa vikao vyote, Ubungo Maji yanauzwa 500 kwa dumu la 20 Lts tena yakisima chumvi tupu

Jukumu la mbuge ni kuiambia serikali ipeleke hayo maji. Je unataka Mnyika atumie pesa yake kusambaza maji?
 
According to Forbes anashika nafasi ya ngapi vile??? Anataka kukwea juu zaidi wacha apige hela kura atapata tu.
 
Naona watu wanashabikia mbunge kutoenda bungeni,wasipoenda na hao wengine kitatokea nini?acheni ujinga.
 
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria,

kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu?

Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata.

ifike mahali watanzania wajue hili

aliingia katika ubunge ili aweze kunufaika katika biashara zake.
 
Huyo Mnyika asie kosa vikao vyote, Ubungo Maji yanauzwa 500 kwa dumu la 20 Lts tena yakisima chumvi tupu

Kenya,Uganda na Rwanda walipoamua kututenga katika jumuia y EA ni kwa vile nchi yetu ina watu wengi wenye akili za chini kama zako. Wewe kwako akifanyacho Dewji ni sawa kabisa kwa vile akija kutembelea jimboni anagawa kilo mbili mbili za sembe na sukari? Na Ubungo hakuna maji kwa sababu ya mnyika?
Shughulisha akili yako japo kidogo kuliko kuchangia kitu ambacho mwishowe kinaonyesha uwezo mdogo wa ufahamu ulio nao. Kweli JF kama tungekuwa tunakuja na ID za kweli, basi kuna watu wangekuwa wanazomewa mitaani kwa kauli zao walizotoa.
Mbunge anatakiwa awepo Bungeni ili sii kuzungumzia maendeleo tuu bali kuwakilisha watu wake maana yeye ndio sauti yao katika kujadili sera, mipango na hatima yao hata ya miaka mingi ijayo. Dewji anapokuwa hayupo maana ni kuwa Singida haipo katika mjadala huo.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Ndio matatizo ya kuchagua viongozi wafanyabiashara!

Na wananchi wakome kuchagua watu kwa kupenda vya bure! walidhani wakimchagua basi utajiri wake atawahamishia wao!

Sasa angalia,hawana mtu wa kuwasemea!
 
Bungeni anawakilishwa na zitto si ndiye alipa ubunge?
 
huyu ana fall ktk kundi la wabunge wenye nia ya kupata diplomatic passport na aweze ku smoothen biashara zake si lengo lakei kuchukua posho au kuwakilisha mtu yoyote!!!
 
Wee unafikiri Mo Dewji ameingia kwenye siasa kwenda kuganga njaa (kusaka posho🙂....Kumbuka ule usemi wa Sumaye akiiwambia wafanyabiashara ya wa Arusha /Moshi kuwa..... "Mkitaka mambo ya biashara zenu yaminyookee ingieni CCM"...Hivyo ponjoro Mo Dewji ameingia na kujikita kiana ndani ya nyumba kwa nia ya kusaka fursa ili mambo yamnyokeee.

Kama ni madhaifu basi yana hao walio mchagua huo Ubunge kwani wamesha mchagua hiki ikiwa ni kipindi cha pili sasa.
 
mnyika ni dawasco?

Myika nikila kitu sio Dawasco tu. Hujui kama ni Membar wa bunge na Baraza la Madiwani wa Wilaya ya Kinondoni Mipango yote ya Maendeleo ya wilaya/jimbo inapangwa na Bunge na Baraza la Madiwani? Au hujui kazi za Mbunge kabla huja coments humu jaribu kujua kwanza nini unacoment na uwajibikaji wake.
 
Vipi huu ni upako mpya wa kuwa na viongozi wanaotatua matatizo ya wananchi kwa fedha zao au...... Ni nini maana ya kumchagua mtu kuwa mwakilishi!
Vipi kuhusu hili la katiba pia atawaandaliya ya kwao au.., na miswada inayopitishwa na bunge yeye pia astahili kuwakilisha maslahi ya wananchi wake kwa kuwa tyr atawatungia za kwao.
Na upande wa lile la bajeti, ndo ataandaa bajeti ya jimbo lake na kuwamwagia fedha toka kwenye fuko lake.
Tz yenye mtizamo mpana inawezekana na inaanza na wewe mwenyewe

Nafikiri umemaliza kila kitu mjumbe. Asiyetaka kuelewa ni mbishi tu. Kama ishu ni kutatua matatizo ya wananchi huko huko majimboni basi kila jimbo lingemtafuta tajiri wa kuyatatua wampe ubunge. Siyo kwa Dewji pekee ni kwa wabunge wote wasio udhuria session za bunge.
 
Back
Top Bottom