Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,505
- 272,186
kaacha bunge lakini anahangaika kwenye nyumba za udongo !Inaonyesha wewe unadhani Bungeni kazi ni kutafuta maji au barabara jimboni. Kwa vile hufahamu majukumu ya Bunge sina muda wa kukupa darasa maana kama umesoma utakuwa ulifundishwa shule. Ila nikueleze jambo moja then kachimbe uelewe,Bunge ndio chombo kikuu cha kuisimamia serikali.
Sent from my iPad using JamiiForums