Mohammed Dewji kwanini haendi bungeni?

Mohammed Dewji kwanini haendi bungeni?

Joined
Oct 25, 2013
Posts
63
Reaction score
262
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria,

kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu?

Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata.

ifike mahali watanzania wajue hili
 
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia
 
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria, kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu? Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata. ifike mahali watanzania wajue hili

Amekuwa mbunge kusudi deal zake za biashara zinyooke vizuri, na kwa sasa ameona laki 3 ndogo kaamua kupotezea.
 
This is too personal,inatakiwa ijibiwe na mwenyewe ila ofisi ya bunge ndo inatakiwa ihoji
 
akili yako naweza sema MFU..
unajua majukumu ya mbunge ww!!!??

majukumu ya mbunge ni kuwakilisha wananchi katika kutatua matatizo yao. sasa kama yeye anaweza kuyatatua bila kuhudhuria bunge shida iko api!
angalia ni wabunge wangapi wanahudhuria kila kipindi ila wananchi matatizo bado yanzidi ongezeka.
cha muhimu hapa ni kuwapa maendeleo tuu kwa anaowawakilisha. haijalishi kahudhuria au la.
 
Mhe. Machemli unamfahamu? Anahudhulia vikao, au na ww una akili mfu

kama haudhurii na yeye kosa lake kama la dewji...
nimekwambia akili yako niMFU hapo uliposema kama anatatua shida zao haina shida...!
 
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia

Vipi huu ni upako mpya wa kuwa na viongozi wanaotatua matatizo ya wananchi kwa fedha zao au...... Ni nini maana ya kumchagua mtu kuwa mwakilishi!
Vipi kuhusu hili la katiba pia atawaandaliya ya kwao au.., na miswada inayopitishwa na bunge yeye pia astahili kuwakilisha maslahi ya wananchi wake kwa kuwa tyr atawatungia za kwao.
Na upande wa lile la bajeti, ndo ataandaa bajeti ya jimbo lake na kuwamwagia fedha toka kwenye fuko lake.
Tz yenye mtizamo mpana inawezekana na inaanza na wewe mwenyewe
 
Yupo kwenye shughuli zake, hana muda wa kwenda bungeni
 
Singida tulishaingizwa chaka na huyu muhindi-mnyaturu!

Hana anachosaidia zaidi ya biznezz zake!
 
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia

Sijui hata huyu mtu amewezaje kuwa mwana JF in the first place!!! Because S/he don't have an iota of what S/he is talking about! Kwahiyo una maana huyo Dewji atawatungia KATIBA yao watu Singida?! Nimekatishwa tamaa sana mawazo yako.
 
This is too personal,inatakiwa ijibiwe na mwenyewe ila ofisi ya bunge ndo inatakiwa ihoji

Mhe. Machemli unamfahamu? Anahudhulia vikao, au na ww una akili mfu

sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia

Magamba mpo kazini
 
Umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria, kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya Bunge, sasa na Bunge la Katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea Ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu? Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa Bunge wanaufyata. ifike mahali watanzania wajue hili
Dewji 'core business' yake siyo ubunge. Wa kujilaumu ni waliomchagua kama walitarajia akawawakilishe. Hata hivyo hizi za kuuwakilisha wananchi nazo ni kauli tu. Ni mbunge gani kukusanya mawazo ya wananchi na kuyasema bungeni zaidi anasema mawazo yake! Pia kwamba anatatua matatizo yao nayo ni kauli potofu pengine ndiyo maana wabunge wanadai nyongeza za posho ili wawagawiye wapiga kura wao!
 
Aende kufanya nini,kushuhudia upuuz unaoendelea mle?
 
Jamaa anawaza kumpita Dangote so mwacheni maana tayari anahela za kuwalipa hao wabunge wote. Na wananchi wake wanamchagua sababu anafanya vizuri jimboni mwake
 
umekuwa ni utaratibu wake kutohudhuria, kufika bungeni kusalimia wenzake na kukimbia kwenye vikao vya kawaida vya bunge, sasa na bunge la katiba haendi, kama anaona biashara zake ni za maana zaidi kwanini aligombea ubunge? Wananchi wake wanawakilishwa vipi katika masuala ya muhimu? Yawezekana huyu ni mbunge mzigo kuliko wengine. Na hata asipoenda, siku anapoenda huko akigawa kidogo hata vigogo wa bunge wanaufyata. Ifike mahali watanzania wajue hili
babu ndesamburo ulimuona mwisho lini bungeni??
 
Wabongo bwana, wao kila siku wanatafuta fursa za kutoa lawama tu mara huyu kafanya vile au yule hajafanya hivi; baas kila kukicha wao lawama tu, hivi mngekuwa nyinyi kwa nafasi zenu mngeyaweza yote hayo?? acheni ushakunaku vijana wa bavicha fanyeni kazi na mtambue kwamba taifa halitajengwa kwa uchakubimbi bali ni kwa kufanya kazi ndiyo mtaona maendeleo. N.dume
 
sioni kama kuna tatizo kama matatizo ya wananchi wake anayatatua. ila kama wananchi anaowawakilisha hawa benefit chochote hapo ndo kuna shida kubwa ya yeye kuonekana mzigo tena wamisumari na chama chake kinatakiwa kumuambia

Nani anawawakilisha wananchi wake katika chombo cha kutunga sheria, kuishauri serikali na kuihoji?
 
Back
Top Bottom