Mohamed Trans laua Polisi watano!


chacha mura ile post yako namba 67 nilikupuuzia maana niliona umekurupuka,na hapa unazid kukurupuka,kampun inaweza kufungiwa kwa kuajiri madereva wazembe,dereva anayejitambua hawez kuendesha gari bovu,hapo dereva na kampun wote wana wajibika,kampun inakwepaje hapo?
 
Huku three sixteen atakuwa ni mhalifu sugu. Hii ni ajali tu. Lakini naming pia ni mchovu sana. Kwani mara nyingi wachovu wanafurahia sana mtu anapopata maafa. Mhurumieni tu

wewe lazima utakua trafiki tu, au cid uchwara kwenye kituo fulani vyumbani kuna viroboto hamtii dawa kuwaua ili mahabusu wapate mateso zaidi. waambie na wenzio hatuwapendi mpaka bas yaani. mwenzetu mmoja kasena ikitokea pana ugomvi kati ya polisi na nyoka atamsaidia nyoka. huo ndo msimamo wa tulio wengi humu nikwambie sasa. tafakari.
 

Hivi Dereva anakuja kuomba kwako kazi, ana Leseni 'Class C' na ana Cheti cha Driving kutoka NIT utamjuaje ni Mzembe? Ishu ya kuendesha kuendesha gari bovu nakubaliana na wewe. Tatizo langu ni pale uzembe wa Dereva unafanywa kuwa uzembe wa Kampuni (Mfano kufanya overtaking za kijinga na kuzidisha speed sehemu ambazo unaruhusiwa kuendesha up to a certain maximum speed limit.
 

kumjua dereva mzembe ni rahis sana,hebu fuatilia usail wa madereva wa serikalin,then jiulize bus owners wanatumia!??
 
Kumjua dereva mzembe ni rahisi sana,hebu fuatilia usaili wa madereva wa serikalini,then jiulize Bus owners wanatumia?

Kigezo cha kumpa Dereva Gari siyo kumfanyia usahili bali ni kuangalia kama vigezo anavyo. Vigezo vinavyoangaliwa ni pamoja na Leseni ya udereva pamoja na Cheti cha kufuzu Mafunzo ya Udereva. Usaili unaingizwa serikali kwa kuwa nafasi ni chache na ni Public Institution yaaani kwa ajili ya kuweka Transparency ya mchakato wa ajira na kupata Madereva ambao ni wazuri zaidi miongozi mwa wazuri waliokuwa short listed (wenye vyeti na leseni). Lakini hii haina maana kwamba wale wanaofeli usaili ni Madereva wabovu. Ni madereva sema kwa kuwa nafasi ni chache inabidi itafutwe mbinu ya kuwachuja na kupata idadi inayohitajika. Otherwise, kama wanaofeli usaili ni Madereva wabovu wasingekuwa na Leseni na vyetu vya Udereva. Mamlaka zinazotoa Leseni na kutoa Vyeti vya Dereva ndio zinapaswa kutowaka watu wazembe Leseni na Cheti. Mtu kuwa na Leseni halali na Cheti halali ni ushaihidi tosha ni competent Driver.

Ukirudi nyuma miaka ya 1970 madereva waliokuwa wanaomba kazi Serikali walikuwa hawafanyiwi usaili. Watu walikuwa wanaomba kazi wanaokuwa vetted then wote wanapangiwa vituo vya Kazi. Ishu ya usaili imekuja baada ya soko la ajira kubana. Na kuhusua ajali kwa Madereva wa Serikali na wao mbona huwa wanasababisha ajali pia. Mimi nilishwai kupigwa pasi na STK Dereva akakimbia. Au na huyo nae hakufanyiwa usahili??
 
"TII SHERIA BILA SHURUTI"
Wote mnaoshabikia vifo vya askari hawa inaonekana ni wahalifu kwani siku zote ukiona mtu anachukia polisi ujue ni mhalifu pia waheshimuni polisi vingine a reasonable force can be applied upon you, nazi haishindani na jiwe never
 
Hao wanaitwa policccm, na walipaswa wawe lindoni, wakatoroka lindo na kwenda kunywa tusker shereheni. Ndo matokeo yake hayo-ukipanda haba utavuna haba.
By the way kufa kufaana. Wauza majeneza watauza pia replacement itafanyika before 2015.
 
unamisemo kuliko hata "rais"
 
Hakuna mwaka unao pita hivi hivi bila kusikia bus za mohamed trans zimehusika kuua...hii kampuni sijui ni ya majini? wanapenda kuona damu za watu zinamwagika sana.

Mkuu kabla hujalaumu mabasi angalia barabara zetu. Highway kama hiyo inakuwa na barabara ya kwenda na kurudi ziko pamoja bila kutenganishwa na chochote, tutarajie nini
 
Hao wanaitwa policccm, na walipaswa wawe lindoni, wakatoroka lindo na kwenda kunywa tusker shereheni. Ndo matokeo yake hayo-ukipanda haba utavuna haba.
By the way kufa kufaana. Wauza majeneza watauza pia replacement itafanyika before 2015.

We aidha unatatizo la kulelewa na mzazi wa upande mmoja, au hujapata bwana muda mrefu, na vinginevyo unakunywa gongo sana! Hao unaowaita policcm ndio hao hao wanalinda mikutano ya mume wenu na hao hao ndio watakaowalinda endapo watakuwa viongozi.
 

umefanya risech????me sijawai kukanyaga kituo cha polisi kwa kosa lolote,ila polis siwapend,naamin kwa Iman yangu Mungu ipo siku ataichukua roho yangu,ila hawa polisi aendelee kuzinyofoa tu roho zao,tena wangekufa 50 as na zaid
 
!
!
wangekufa kumi au ishirini mbwa hawa siwapendi kama nini basi tu,

go burn in hell...siwapendi sana hawa watu basi tu
Najua unawachukia kisiasa tu na wala sio wamekuonea wewe binafsi, lakini kumbuka nao ni wapiga kura pia.
 
umefanya risech????me sijawai kukanyaga kituo cha polisi kwa kosa lolote,ila polis siwapend,naamin kwa Iman yangu Mungu ipo siku ataichukua roho yangu,ila hawa polisi aendelee kuzinyofoa tu roho zao,tena wangekufa 50 as na zaid

sasa chuki ya nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…