DAWA YA SIKIO
JF-Expert Member
- Dec 8, 2011
- 978
- 184
Una matatizo ya kisaikolojia sio bure.!
!
pamoja na ubinadamu, ukudadeki na unini sijui......hata wangekufa kituo kizima poa tu. Mbwa kabisa hawa. Yani nikisikia polisi kafa,tena kafa kwa maumivu makali huwa nafarijika sana. ***** sana hawa.
Rushwa zimewajaa kama nini, yani mie siwapendi mpaka basi.
Nikikuta nyoka anapambana na polisi ntamsaidia nyoka.
Jaman mapot..dah! R.I.P mapot, hasa wadepo wangu watatu jema,deo na jack. Tupo nyuma yenu maana ndo njia tuloichagua..amen!
Jaman mapot..dah! R.I.P mapot, hasa wadepo wangu watatu jema,deo na jack. Tupo nyuma yenu maana ndo njia tuloichagua..amen!
namuomba mwenyezi mungu awalipe kadiri ya matendo yao kwani ni wengi waliopata hasara kwa kazi za hawa watu kuliko faida sema AMEEN
!
!
mkuu nadhani wewe unaweza ukawa unawapenda.....mie siwapendi mpaka basi yani mpaka sijui nini. Dunia nzima hakuna.....siwapendi kinoma
Jaman mapot..dah! R.I.P mapot, hasa wadepo wangu watatu jema,deo na jack. Tupo nyuma yenu maana ndo njia tuloichagua..amen!
AMEN
Pumzikeni kwa AMANI
.mh...mohd trans tena ....?
wewe acha hizo! Ajali ngapi zimetokea hapa nchini? Je! Zilihusisha mohamed trans? Uliza police au sumatra wakupe takwimu sahihi! Hukusikia ya tanga, mbeya, dar? Hawa unaambiwa wamekesha kwenye tafrija! Mambo ya tafrija yanafahamika! Alfjiri wamekurupuka kurudi kongwa! Je! Hawakuwa na mnin'ginio wa kilevi? Acheni polisi wenyewe watupe taarifa sahihi zisizo na upendeleo!
mkuu Me sikuhitaji picha..i was curious na wakware wa picha hata mtu akisema kaja.mba wanataka pich sa sijui huwa zinawasaidia nin
mwenye kujua majina yao please!
JK atangaze mapumziko kuomboleza bana...msiba huu ni mkubwa sana na wa kitaifa aisee
evarist bukombe mzaliwa wa kigoma
adolf mwenyeji wa kongwa,
gemma luvinga mwenyeji wa iringa
deo mwenyeji wa mpwapwa
na jackline wa moshi,wote walikuwa askari wa wilaya ya kongwa
!
!
pamoja na ubinadamu, ukudadeki na unini sijui......hata wangekufa kituo kizima poa tu. Mbwa kabisa hawa. Yani nikisikia polisi kafa,tena kafa kwa maumivu makali huwa nafarijika sana. ***** sana hawa.
Rushwa zimewajaa kama nini, yani mie siwapendi mpaka basi.
Nikikuta nyoka anapambana na polisi ntamsaidia nyoka.
suleiman pole usiwe na jazba. Mohamed Trans ni moja ya Kampun ambazo zinasababisha sana ajali au zinapata sana ajali na pia madereva wake wanakimbiza magari sanaaa